Mwigulu na January na akina Nape walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea mpaka Magufuli akapagawa ndipo Serikali ya china ikaokoa jahazi kwa kumwaga mapesa mengi lakini na yenyewe pia waliyapiga na sasa wanateuliwa kuwa mawaziri ili kulipa fadhila.
hiyo sheria ilipita hakuna mwana ccm atakaebaki
Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,
kwiiiiii kwiiiiiiii kwii
hawa people bhuana! hasa huyu FaizaFoxy zile sifa kwa jk hakuna tena toka pombe aanze kutumbua majipu ya jk amebadilisha ID .
Kwa hiyo wanyakyusa ndio wamesoma peke yao? Nenda pale bandarini salamu za asubuhi ni kinyakyusa " ugonile, Ndaga" ,hata yale majizi ya tra yaliyokamatwa na waziri mkuu karibu yote ni wanyakyusa
Hawa jamaa ni wa kurogwa aisee..!!
hata mwakyembe yumooo??? heee huyu jamaa nae mwizi ndio maana kyela kwao hawaendelei
Eh hah hah ,msichana yoyote akisikia hii ni mutu ya TRA inamtaka basi jua ndoa /urafiki wenu umeisha.Wamechangia kuongeza foleni jijini Dsm kwa kuwanunua vimada magari.
Mali zake nyingi kawekeza mikoani Dodoma Tanga hata Dsm kaandika majina feki ni mjanja sana kumgundua wafanye kazi ya ziada pia alisaidia sana kampeni kumgusa itakuwa vigumu labda January aamue kumsariti.