Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,786
Hilo neno lete vielelezo mara lete ushahidi ndilo limeifikisha Tanzania hapa ilipo sasa, utakuta mtu anafanya wizi kisayansi kwa umakini yaani kwenye macho huonekana lakini mali zake zinaoneka wazi bado mtu anataka ushahidi zaidi, kuna mtu anaajiriwa miezi sita tu tayari ananunua majumba makubwa anamiliki vogue, Vx v8 ya 2015 unataka vielelezo wakati hata macho yanaona.
Wacha wakalie kutafuta empirical evidence kama haitakua viscious cycle of poverty!