Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Screenshot_20250317-082331.png

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
 
View attachment 3273615

Kwanini umwache mwizi apite nyumbani kwako kila siku.
 
Sidhani kama ni sawa kuandika habari kishabiki shabiki (Eti hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao!?) au kuweka habari nusu nusu wakati ukweli unajulikana wazi. Unapoandika kwamba 'Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupita Red Sea" ulipaswa pia kusema KWANINI? Wao si wendawazimu kuthubutu kutoa kama msimamo huo lazima kuna sababu, lakini naona umechagua kuchukua habari nusu sijui kwa lengo gani au kwa faida ya nani?
 
Ukitaka kujua mlokole ndio uyo ukweli kaukalia !!!!

analeta propaganda kuusu Yemen!!!! Anasaau awa Wayemen Washapiga adi meli za Jesh la Marekani !! afu analeta habari ya kuwadunisha!!!!!
 
View attachment 3273615

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
GAZA AWAPO PEKE YAO !! MOTO UTAWAKA KWA WAVAMIZ NA WAPOLAJI RASILIMALI UNYONGE AKUNA KWASASA... WAWE TAYALI KUFA ILI WAPATE ARDHI!!!!!!!
 
-Asipopita hapo bab al mandeb akizungukia S.Africa anaongeza zaidi km 11,000.
-China na us wapo vitani kuhusu tarrif Xi Jinping
-Urusi nae hayupo nyuma kuhakikisha dollar si chochote zaidi ya karatasi lililoaminiwa.
Hao nilowataja na Houth,,,,mkakati wao ni kuhakikisha bwana mkubwa analala kaburini bila kutumia mishale mingi.
 
Iran behind
View attachment 3273615

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
 
-Asipopita hapo bab al mandeb akizungukia S.Africa anaongeza zaidi km 11,000.
-China na us wapo vitani kuhusu tarrif Xi Jinping
-Urusi nae hayupo nyuma kuhakikisha dollar si chochote zaidi ya karatasi lililoaminiwa.
Hao nilowataja na Houth,,,,mkakati wao ni kuhakikisha bwana mkubwa analala kaburini bila kutumia mishale mingi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hao wa Yemen wamepigwa kipigo Cha mbwa Koko juzi juzi tu na Marekani. Bado wanajifanya wanapiga biti, alo trump hachekicheki na kima. Yeye ukizingua hapohapo anakupa kichapo.
 
View attachment 3273615

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Mtume wa allahn anafanya makosa makubwa hapa kwenye eneo la hatari
 
View attachment 3273615

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Hawa wahuni hawawakilishi dini yetu ya amani, siyo waislamu.
Hata HAMAS hawawakilishi, ni wahuni tu.
 
Back
Top Bottom