Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

Hao wa Yemen wamepigwa kipigo Cha mbwa Koko juzi juzi tu na Marekani. Bado wanajifanya wanapiga biti, alo trump hachekicheki na kima. Yeye ukizingua hapohapo anakupa kichapo.
Acheki na kima kweli !!!!!

Sasa TRAMP kwanini akati Umeme unapoanzia shida yote Inatokea Iran yeye anaenda Yemen au GAZA kwanza si akapige IRAN kisha ndio ao wengine!!!! au anapenda kucheka na Popo!!!!
 
Acheki na kima kweli !!!!!

Sasa TRAMP kwanini akati Umeme unapoanzia shida yote Inatokea Iran yeye anaenda Yemen au GAZA kwanza si akapige IRAN kisha ndio ao wengine!!!! au anapenda kucheka na Popo!!!!
Iran Haina lolote maana ishanyamazishwa na Israel kitambo
 
Acheki na kima wakati Iran ndio Moyo wa makundi yote wanaiyogopa!!!!
Us hawezi kwenda mpapasa Iran,70% ya nishati duniani inapitia kibarazani mwa Iran(strait of Hormuz)
Iran ikipiga mruzi pafungwe,,Lita ya petrol tutanunua laki.
 
View attachment 3273615

Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel

Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.

Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Umesema vema inavyostahili. Hata cjui USA na Israel aliwakosea nini. Kila siku ni USA and Israeli a.k.a Masayuni au Wayahudi.
Hawajifunzi kwa mwenzao HAMAS na Hezbollah. Ngoja tuone.
 
Jaribu kutafsiri Kwa kiarabu ndio utaelewa vizuri.
Screenshot_20250317-201014_1.jpg
 
Back
Top Bottom