πππππππππππππππππππππππππππππππππππHakuna biti hao jamaa Huwa Wana maanisha. Hakuna meli ya marekani itakayokua salama hapo kwenye hiyo bahari.
Kwa mwaka mmoja wa houthis wa Yemen wamepiga meli 178 zenye uhusiano na Israel mwaka 2023πππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Kwanini umwache mwizi apite nyumbani kwako kila siku.View attachment 3273615
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Ukitaka kujua mlokole ndio uyo ukweli kaukalia !!!!Sidhani kama ni sawa kuandika habari kishabiki shabiki (Eti hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao!?) au kuweka habari nusu nusu wakati ukweli unajulikana wazi. Unapoandika kwamba 'Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupita Red Sea" ulipaswa pia kusema KWANINI? Wao si wendawazimu kuthubutu kutoa kama msimamo huo lazima kuna sababu, lakini naona umechagua kuchukua habari nusu sijui kwa lengo gani au kwa faida ya nani?
GAZA AWAPO PEKE YAO !! MOTO UTAWAKA KWA WAVAMIZ NA WAPOLAJI RASILIMALI UNYONGE AKUNA KWASASA... WAWE TAYALI KUFA ILI WAPATE ARDHI!!!!!!!View attachment 3273615
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
View attachment 3273615

πππππππππ-Asipopita hapo bab al mandeb akizungukia S.Africa anaongeza zaidi km 11,000.
-China na us wapo vitani kuhusu tarrif Xi Jinping
-Urusi nae hayupo nyuma kuhakikisha dollar si chochote zaidi ya karatasi lililoaminiwa.
Hao nilowataja na Houth,,,,mkakati wao ni kuhakikisha bwana mkubwa analala kaburini bila kutumia mishale mingi.
Mtume wa allahn anafanya makosa makubwa hapa kwenye eneo la hatariView attachment 3273615
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Hawa wahuni hawawakilishi dini yetu ya amani, siyo waislamu.View attachment 3273615