Uyo muuni wenu TRAMP Mwambieni Ukweli pengine yeye Ajui kuwa Shida yote ile ni IRAN tu. Akaanze na IRAN kwanza!!!!Marekani achukue ile style ya Netanyahu dhidi ya Hezbola, kuwasaka na kuwapiga viongozi wote wa Kihouthi na wale watengeneza maroketi wote.
Leo umeongea point.YAN
Uyo muuni wenu TRAMP Mwambieni Ukweli pengine yeye Ajui kuwa Shida yote ile ni IRAN tu. Akaanze na IRAN kwanza!!!!
Acheki na kima kweli !!!!!Hao wa Yemen wamepigwa kipigo Cha mbwa Koko juzi juzi tu na Marekani. Bado wanajifanya wanapiga biti, alo trump hachekicheki na kima. Yeye ukizingua hapohapo anakupa kichapo.
Iran Haina lolote maana ishanyamazishwa na Israel kitamboAcheki na kima kweli !!!!!
Sasa TRAMP kwanini akati Umeme unapoanzia shida yote Inatokea Iran yeye anaenda Yemen au GAZA kwanza si akapige IRAN kisha ndio ao wengine!!!! au anapenda kucheka na Popo!!!!
Us hawezi kwenda mpapasa Iran,70% ya nishati duniani inapitia kibarazani mwa Iran(strait of Hormuz)Acheki na kima wakati Iran ndio Moyo wa makundi yote wanaiyogopa!!!!
Anaogopa aibu maana jamaa hana tena uperhandAnaogopa nini kwenda IRAN walokole wenzie wamsifie dunian!!!!
Ww kobaz jau sana, wamepiga meli 178 au wameshambulia mara 178?Kwa mwaka mmoja wa houthis wa Yemen wamepiga meli 178 zenye uhusiano na Israel mwaka 2023
Mashambulizi ni zaidi ya miambili na sitini. Meli zilizopigwa direct fire ni 178Ww kobaz jau sana, wamepiga meli 178 au wameshambulia mara 178?
Umesema vema inavyostahili. Hata cjui USA na Israel aliwakosea nini. Kila siku ni USA and Israeli a.k.a Masayuni au Wayahudi.View attachment 3273615
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako obsessed sana US, na obsession yao itawasaidia kupata kile wanachostahili, ni ishu ya muda tu.
Jaribu kutafsiri Kwa kiarabu ndio utaelewa vizuri.