Toka vichochoroni ama toka gesti house?Lulu.Lulu...ana masters ya computer engineering
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka vichochoroni ama toka gesti house?Lulu.Lulu...ana masters ya computer engineering
Hahahah sio telecommunications tena ??Lulu.Lulu...ana masters ya computer engineering
Hii itakua Melimutuziology yaani ya kwake ni ya kipekee yeye ndio mwenye nayo dunia nzimaLe Mutuz - Injinia wa Meli. Sijui kwa kizungu wanaitaje!
Hahahah sio telecommunications tena ??
Bila shaka elimu yako ya kuunga unga sana Nina uhakika Wewe ni mmoja wa watu waliotoa tangazo kwenye gazeti kua umepoteza vyeti wakati hukuwai ata kusomaUkishajua Itakusaidia nini??
Acha UMBEA kjjana.
Tumia fursa zilizokuwepo utafute maisha hatimae utoke kimaisha.
Habar fulan amesoma mpaka level fulani siyo ishu chamsingi nikukomaa nautafutaji then uweze kuishi vizur hapo baadae.
Samahan (Mdogo wangu) najua nitakuwa nimekukwaza...
Elimu siku hizi halipi sana kama ukifanya business somewhere na ikapokelewa vizuri na wateja ukapata faida kinoma.
e.g. Bakhresa,MANJI, hana degree but anapiga ela kila kukicha
Ha ha haaa we jamaa ni sheedah!Hemedy ana Phd ya "FUCKNOLOGY"
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
UDOM 1989? Ahsante sana!Rambo,,,,
Ana dgrii ya mipango mji aliichukua udom mwaka 1989
Elimu za hapa na pale sasa unamuuliza sanaa umesomea wapi? anakujibu ni kipaji tu.
Inaonekana shule ilikushinda.Ukishajua Itakusaidia nini??