Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajua Itakusaidia nini??
Acha UMBEA kjjana.
Tumia fursa zilizokuwepo utafute maisha hatimae utoke kimaisha.
Habar fulan amesoma mpaka level fulani siyo ishu chamsingi nikukomaa nautafutaji then uweze kuishi vizur hapo baadae.
Samahan (Mdogo wangu) najua nitakuwa nimekukwaza...
Elimu siku hizi halipi sana kama ukifanya business somewhere na ikapokelewa vizuri na wateja ukapata faida kinoma.
e.g. Bakhresa,MANJI, hana degree but anapiga ela kila kukicha
HA HA HALulu.Lulu...ana masters ya computer engineering
Mnavo = Mnavyo?Hii post imenifanya nifurahi sana leo kutokana na mnavo coment
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaaa mkuu umetishaDr Ray C ana Diploma na Degree (Phd) ya Grugnology zote kutoka Harvard na Oxford
HahahahahaSenga ana phd ya kuongea vibaya
Engineer of the shipLe Mutuz - Injinia wa Meli. Sijui kwa kizungu wanaitaje!
Mkuu kakuandikia uingeleza bado unahoji elimu yake kweli?wewe una elimu gani?
ship engineeringLe Mutuz - Injinia wa Meli. Sijui kwa kizungu wanaitaje!
uingelezaNaomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
Haizidi pesa, una elimu halafu unakuwa mtumwa wa kutumwatumwa na kutishwaInaonekana shule ilikushinda.
Elimu tamu aisee.
Duuh now ni marehemu SengaSenga ana phd ya kuongea vibaya
wewe una elimu gani?
Jamaa ana elimu ya uingelezaNaomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii