Waigizaji na wanamuziki wa Tanzania waliosoma (waliopiga kitabu)

Waigizaji na wanamuziki wa Tanzania waliosoma (waliopiga kitabu)

Ray ana Masters ya cosmetology. By far ndio kiumbe pekee aliyefanikiwa kubadili rangi ya ngozi kwa kutumia maji tu na yeye mwenyewe ndie case study.
umesahau kimoja,mazoezi.alisema anakunywa maji mengi na anafanya mazoezi sana vile vile.
 
Nikki wa pili ana masters but I dont know ni ya nini ila ni mmoja kati ya wasanii wasomi nchini.
 
Joyce kiria pia naskia ako na masters, nadhani ya naniliu, ngoja narudi
 
Back
Top Bottom