Waigizaji na wanamuziki wa Tanzania waliosoma (waliopiga kitabu)

Bila shaka elimu yako ya kuunga unga sana Nina uhakika Wewe ni mmoja wa watu waliotoa tangazo kwenye gazeti kua umepoteza vyeti wakati hukuwai ata kusoma
 
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii

Hamees Mwinyijuma: (Cert) IFM, (Adv. Dip) IFM, (Masters in Fin) Coventry Univ (1yr) - UK.
 
Inaonekana shule ilikushinda.

Elimu tamu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…