Waigizaji na wanamuziki wa Tanzania waliosoma (waliopiga kitabu)

Alikiba ana mastars ya marketing,. Ndio maana mwenzie povu lamtoka kila siku ila hatamfkia maana jamaa ni msomi na anajua kuteka nyoyo za watu
 
Hii post imenifanya nifurahi sana leo kutokana na mnavo coment
 

Unafikiri hao kina manji,bakhersa wangewaajiri watu kama wewe msiosoma kwenye kampuni unafikiri ingekuwa vipi
 
Diva ana masters ya kubana pua
 
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
uingeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…