M mkulubule Member Joined Aug 3, 2016 Posts 70 Reaction score 45 Aug 10, 2016 #61 Bujibuji said: Jamaa ana elimu ya uingeleza Click to expand... hahahahaahahaa nimecheka sn na hizo phd loh!
Bujibuji said: Jamaa ana elimu ya uingeleza Click to expand... hahahahaahahaa nimecheka sn na hizo phd loh!
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,521 Reaction score 2,747 Aug 10, 2016 #62 Jamalm335 said: Ray ana Masters ya cosmetology. By far ndio kiumbe pekee aliyefanikiwa kubadili rangi ya ngozi kwa kutumia maji tu na yeye mwenyewe ndie case study. Click to expand... umesahau kimoja,mazoezi.alisema anakunywa maji mengi na anafanya mazoezi sana vile vile.
Jamalm335 said: Ray ana Masters ya cosmetology. By far ndio kiumbe pekee aliyefanikiwa kubadili rangi ya ngozi kwa kutumia maji tu na yeye mwenyewe ndie case study. Click to expand... umesahau kimoja,mazoezi.alisema anakunywa maji mengi na anafanya mazoezi sana vile vile.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Aug 10, 2016 #63 Agnes masogange master ya pundaOCTATRIFOSIzim
M mwarabu wa dubai JF-Expert Member Joined Nov 29, 2015 Posts 317 Reaction score 307 Aug 10, 2016 #64 Nikki wa pili ana masters but I dont know ni ya nini ila ni mmoja kati ya wasanii wasomi nchini.
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Aug 10, 2016 #65 Joyce kiria pia naskia ako na masters, nadhani ya naniliu, ngoja narudi