Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutamani kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye sherehe za kuzaliwa CCM

Wakati Waigizaji wa kenya na uganda pamoja na wanamuziki wao wanajitutumua kujulikana kimataifa,maana muziki na Waigizaji ya Tanzania wamejikita kwenye kampeni za CCM au hata vyama vingine,mwisho wa siku wamejikuta hawaendi popote zaidi ya kwenda kuwapigia magoti maustazi.

Badilikeni!
 
Ungeeleza hoja yako bila ya kuitaja CCM ungeweza kueleweka.

Wasanii wa Marekani huwa wanawapigia campaign wagombea wa nafasi mbalimbali.

Kafanye kazi acha kushinda mitandaoni kuandika upuuzi.
 
Ungeeleza hoja yako bila ya kuitaja CCM ungeweza kueleweka.

Wasanii wa Marekani huwa wanawapigia campaign wagombea wa nafasi mbalimbali.

Kafanye kazi acha kushinda mitandaoni kuandika upuuzi.

akili yako inawaza CCM tu?utaolewa na CCM
 
Hivi unadhani angekulia Kenya au kuwa na uraia wa Kenya angefika hapo alipofika?

"Nyong'o moved back to Kenya with her parents when she was less than one year old,[SUP][8][/SUP] when her father was appointed a professor at the University of Nairobi.[SUP][9][/SUP]She grew up primarily in Kenya, and describes her upbringing as "middle class, suburban".[SUP][10][/SUP] At age sixteen, her parents sent her back to Mexico for seven months to learn Spanish.[SUP][8][/SUP][SUP][11][/SUP] During those seven months, Nyong'o lived in Taxco, Mexico, and took classes at Universidad Nacional Autonoma de Mexico's Learning Center for Foreigners."

Usitafute visingizio.
 
Lupita first African to win an Oscar. Hongera zake. No matter where you are from your dreams are valid. Qoute Lupita Nyongo.
 
Wasanii wa bongo bado wanaibiana mabwana kwanza na kubeba poda! Wakimaliza(sijui lini) ndo wataanza kufikiria kuwa kama lupita.
 
Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutaman kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye sherehe za kuzaliwa CCM

Wakati Waigizaji wa kenya na uganda pamoja na wanamuziki wao wanajitutumua kujulikana kimataifa,maana muziki na maigizaji ya Tanzania yamejikita kwenye kampeni za CCM au hata vyama vingine,mwisho wa siku yamejikuta hayaendi popote zaidi ya kwenda kuwapigia magoti maustazi.

Badilikeni!

mi wasanii wa bongo nawadis sana,hawana maana kabisa.kazi yao kubwa ni kuibua skendo.mara flani kanunua bonge la jumba,mara flani ana bonge la mjengo na gari ndani ya siku mbili unasikia kanyangwanywa na pedeshee wake aliyekuwa kampangisha.muda mwingi wanatoa skendo za kutunga kwenye magazeti ya udaku ili wapate chochote.

watabaki kumpigia magoti sana ostaz juma namusoma
 
CCM ni wezi, Majambazi, Majangili, Wauwaji, Watesaji na Wahuni ndio maana hata majina yenu yanawakilisha dhamira zenu!!!!

Mungu awapumzishe kwa amani marehemu Chacha Wangwe, wote waliofariki kwenye bomu la Arusha, kijana wa Morogoro na wale wote niliowasahau waliofariki kutokana na udhalimu wa CHADEMA.

Mungu aendelee kuwapa faraja Bw. Musa Tesha na Ulimboka pamoja na wahanga wote wa matendo maovu ya CHADEMA.

Kwa Yesu kila goti litapigwa.
 
Acha upuuzi wako wa kumtaja BWANA YESU kwenye upuuzi wako, tena uwe na adabu kabisaaaa, usitake kuniharibia siku please. Unataja jina ambalo halihusiki kabisaaaaa. nani asiye ujua ushenzi na uchafu wa CCM? CCM waliniulia ndugu zangu na leo unaongea upuuzi hapa. Go to hell.

Yesu ameingiaje hapa au anahusika vp na madai yako ya chadema kuua au kupga watu,vijana weng mnamatatizo ya akili,mnakariri sana,unachukua tu msemo unaupachika popope bila kujua kama ni mahala pake au la.
 
Bahati mbaya aliyemuua Wangwe ni ccm. Au umekua juzi hujui historia!!! Ccm mtajibu kwa Mungu, very soon
 
Acha upuuzi wako wa kumtaja BWANA YESU kwenye upuuzi wako, tena uwe na adabu kabisaaaa, usitake kuniharibia siku please. Unataja jina ambalo halihusiki kabisaaaaa. nani asiye ujua ushenzi na uchafu wa CCM? CCM waliniulia ndugu zangu na leo unaongea upuuzi hapa. Go to hell.

Muombe Mh. Mbowe akuonyeshe mkanda wa video wa tukio la bomu Arusha ili uone CHADEMA inavyofanya mipango ya kutuulia ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom