Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutaman kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye sherehe za kuzaliwa CCM

Wakati Waigizaji wa kenya na uganda pamoja na wanamuziki wao wanajitutumua kujulikana kimataifa,maana muziki na maigizaji ya Tanzania yamejikita kwenye kampeni za CCM au hata vyama vingine,mwisho wa siku yamejikuta hayaendi popote zaidi ya kwenda kuwapigia magoti maustazi.

Badilikeni!

Mada yako ingeweza kuwa nzuri tu bila kuitaja CCM.
 
"I told dad do you know Brad Pitt am going to be with him in the movie "dad said I do not know him personally but am glad you have a job now.(anajua kuongea Sana lakini pia when other factor remain constant huyu binti anatokea familia bright Sana afu pia ni Kama alijua anataka ni nimapema So Sio kipaji cha ukubwani Kama wetu wengi.
 
"Nyong'o moved back to Kenya with her parents when she was less than one year old,[SUP][8][/SUP] when her father was appointed a professor at the University of Nairobi.[SUP][9][/SUP]She grew up primarily in Kenya, and describes her upbringing as "middle class, suburban".[SUP][10][/SUP] At age sixteen, her parents sent her back to Mexico for seven months to learn Spanish.[SUP][8][/SUP][SUP][11][/SUP] During those seven months, Nyong'o lived in Taxco, Mexico, and took classes at Universidad Nacional Autonoma de Mexico's Learning Center for Foreigners."

Usitafute visingizio.

Bado kuna visingizio lupita amesona majuu babake ni waziri familia yao tu iko vizuri mpaka kuwa na uwezo wakumsomesha huko mexico hata mdogo wake anasoma florida kuna tofauti wasanii wetu wengi ni wametokea mitaani tu na wengi hata hawajasona so inawia vigumu kutamulika majuu kidhungu ziro.
 
SHERRIF ARPAIO fuatilia makuzi yake katika sanaa pamoja na elimu ya usanii alipoipata ndio utagundua utofauti wake na hawa wasanii wa kwetu tunaowasimanga hapa...
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya aliyemuua Wangwe ni ccm. Au umekua juzi hujui historia!!! Ccm mtajibu kwa Mungu, very soon

wee usitufanye wengne pumbuani kama nyie vijana wa chadomo kilichomuua wange ni dhamira yake ya kuutaka UENYEKITI wa chama. halkadhalika na ZZK naye baada ya kuutaka uchea mmemwekea zengwe R.I.P chadomo
 
SHERRIF ARPAIO fuatilia makuzi yake katika sanaa pamoja na elimu ya usanii alipoipata ndio utagundua utofauti wake na hawa wasanii wa kwetu tunaowasimanga hapa...
Baba yake Wema Sepetu alikuwa diplomat.
Wema nasikia nae alishawahi kuishi US sijui Canada sasa mnataka comparison gani tena? As a daughter of a diplomat, Wema alikuwa na priviledges kama za Lupita
 
Bado kuna visingizio lupita amesona majuu babake ni waziri familia yao tu iko vizuri mpaka kuwa na uwezo wakumsomesha huko mexico hata mdogo wake anasoma florida kuna tofauti wasanii wetu wengi ni wametokea mitaani tu na wengi hata hawajasona so inawia vigumu kutamulika majuu kidhungu ziro.
Baba yake Wema si alikuwa nae diplomat kama baba ya Lupita? Kumbuka huko Mexico, huyo Lupita alienda kusomea Spanish tu. Unataka kuniambia Wema alishindwa hata ku-enroll hapo Dar Alliance Francaise tena wakati baba yake alikuwa diplomat? Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
"Nyong'o moved back to Kenya with her parents when she was less than one year old,[SUP][8][/SUP] when her father was appointed a professor at the University of Nairobi.[SUP][9][/SUP]She grew up primarily in Kenya, and describes her upbringing as "middle class, suburban".[SUP][10][/SUP] At age sixteen, her parents sent her back to Mexico for seven months to learn Spanish.[SUP][8][/SUP][SUP][11][/SUP] During those seven months, Nyong'o lived in Taxco, Mexico, and took classes at Universidad Nacional Autonoma de Mexico's Learning Center for Foreigners."

Usitafute visingizio.

Ni ukweli usio pingika kwamba,,maisha ya Lupita ni tofauti sana na maisha ya wasanii wetu wa hapa Tanzania.
Na ni vyema pia ukakumbuka kwamba kila mtu duniani ana njia zake za kupita,,u never know, Lupita is now 31,lakini kabla ya hapo wengi tulikuwa hatumjui.
Watanzania (wasanii)bado wana nafasi.
 
Haya twawasubiri labda siku moja tutawaona nao kwenye red carpet za Hollywood Boulevard ama Beverly Hills, ama kwenye shows za akina Jimmy Kimmel na Conan O'Brien badala ya kuishia kwenye "Mkasi show" tu
 
Baba yake Wema Sepetu alikuwa diplomat.
Wema nasikia nae alishawahi kuishi US sijui Canada sasa mnataka comparison gani tena? As a daughter of a diplomat, Wema alikuwa na priviledges kama za Lupita

Je miss Wema alitamani kuwa msanii siku moja?

Huenda huu usanii anaufanya kwa kuwa tu michongo mingine ya maisha imekataa...

Wema huyu huyu alikuja Malaysia wakati fulani na elimu ilimshinda.
 
Kama hakutamani kuwa msanii, hizo bongo movies anaigiza kwa kigezo gani?
Of all the places, Malaysia nako kuna elimu? Najua mimi ni kilaza nilikimbia umande lakini siamini kama Malaysia kuna elimu nzuri.
 
Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutaman kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye sherehe za kuzaliwa CCM

Wakati Waigizaji wa kenya na uganda pamoja na wanamuziki wao wanajitutumua kujulikana kimataifa,maana muziki na maigizaji ya Tanzania yamejikita kwenye kampeni za CCM au hata vyama vingine,mwisho wa siku yamejikuta hayaendi popote zaidi ya kwenda kuwapigia magoti maustazi.

Badilikeni!

Maustazi yamefanyaje tena? ndio akina nani hao! Waende wapi, Oscar awards wanatumia kiingereza, sasa huyu Diamond and the company wataongea nini! Tuna safari ndefu ya kwenda. Like father like son- kama CCM baba yao!
 
Wataka kusema kuwa Diamond ni maimunaz?
 
Kama hakutamani kuwa msanii, hizo bongo movies anaigiza kwa kigezo gani?
Of all the places, Malaysia nako kuna elimu? Najua mimi ni kilaza nilikimbia umande lakini siamini kama Malaysia kuna elimu nzuri.

Mkuu sijui kama umefuatilia vizuri namna tulvyoanza na mkuu SHERRIF ARPAIO

Sababu yangu kuitaja Malasyia haikuwa na maana yoyote kujadili ubora wa elimu yao...

Nia ilikuwa ni kuonesha namna tu huyu bi mkubwa ambavyo elimu tu ya kawaida isiyo ya fani ilivyomshinda...

Laiti kama angelitamani kuja kuwa msanii basi angelisomea shule za sanaa maana vipo vyuo vingi tu vitoavyo elimu hiyo...

Suala la Wema kuwa msanii binafsi naamini sio kipaji bali ni njia tu ya kutafuta maisha pengine pia imechagizwa na umaarufu alioupata awali wa Miss Tanzania...

Hawa wasanii wetu kama kweli wangelikuwa makini na kazi zao, ndoto zao zingeenda mbali zaidi na wangetafuta kutoboza kwenye majukwaa ya kimataifa...
 
Last edited by a moderator:
Maustazi yamefanyaje tena? ndio akina nani hao! Waende wapi, Oscar awards wanatumia kiingereza, sasa huyu Diamond and the company wataongea nini! Tuna safari ndefu ya kwenda. Like father like son- kama CCM baba yao!

mkuu hujasikia kuna msanii wa bongofleva amempigia magoti ustaz juma na mwanza?nasikia pia hau maustaz wanawasodomize wasanii wetu.
 
Mkuu sijui kama umefuatilia vizuri namna tulvyoanza na mkuu SHERRIF ARPAIO

Sababu yangu kuitaja Malasyia haikuwa na maana yoyote kujadili ubora wa elimu yao...

Nia ilikuwa ni kuonesha namna tu huyu bi mkubwa ambavyo elimu tu ya kawaida isiyo ya fani ilivyomshinda...

Laiti kama angelitamani kuja kuwa msanii basi angelisomea shule za sanaa maana vipo vyuo vingi tu vitoavyo elimu hiyo...

Suala la Wema kuwa msanii binafsi naamini sio kipaji bali ni njia tu ya kutafuta maisha pengine pia imechagizwa na umaarufu alioupata awali wa Miss Tanzania...

Hawa wasanii wetu kama kweli wangelikuwa makini na kazi zao, ndoto zao zingeenda mbali zaidi na wangetafuta kutoboza kwenye majukwaa ya kimataifa...

You are right mkuu nakubaliana na wewe kuwa wasanii wetu na hata wana michezo wetu hawako makini kwenye kujiendeleza na kuwa na discipline
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom