MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutaman kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye sherehe za kuzaliwa CCM
Wakati Waigizaji wa kenya na uganda pamoja na wanamuziki wao wanajitutumua kujulikana kimataifa,maana muziki na maigizaji ya Tanzania yamejikita kwenye kampeni za CCM au hata vyama vingine,mwisho wa siku yamejikuta hayaendi popote zaidi ya kwenda kuwapigia magoti maustazi.
Badilikeni!
Mada yako ingeweza kuwa nzuri tu bila kuitaja CCM.