Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Ulicho post kinakuhusuakili yako inawaza CCM tu?utaolewa na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulicho post kinakuhusuakili yako inawaza CCM tu?utaolewa na CCM
mkuu hujasikia kuna msanii wa bongofleva amempigia magoti ustaz juma na mwanza?nasikia pia hau maustaz wanawasodomize wasanii wetu.
Wataka kusema kuwa Diamond ni maimunaz?
Definitely! Their is no question about that! Na sio kosa lake, kadri ya simulizi zake ni kuwa baba alimtelekeza. Niliwahi kumsikia chanel 5 akilonga!
Bora kuolewa maana ni makubaliano ya hiari kati ya watu wawili lakini kwa CCM inabaka kabisa kama popobawa!akili yako inawaza CCM tu?utaolewa na CCM
Kama hakutamani kuwa msanii, hizo bongo movies anaigiza kwa kigezo gani?
Of all the places, Malaysia nako kuna elimu? Najua mimi ni kilaza nilikimbia umande lakini siamini kama Malaysia kuna elimu nzuri.
ukiangalia ile filamu ya sugar utaona tofauti kubwa sana aliyonayo lupita na wale wasanii wengine waliocheza hyo movie ya wakenya.sishangai kupokea hiyo tuzo kubwa duniani.ni kama vile george weah alivyopata tuzo ya mchezaji bora wa dunia.the lady is talented sio wap amesomea.sanaa ya tanzania bado ni platform ya kupata mabwana wenye fedha na kuandikwa kwenye magazet
Baba yake Wema si alikuwa nae diplomat kama baba ya Lupita? Kumbuka huko Mexico, huyo Lupita alienda kusomea Spanish tu. Unataka kuniambia Wema alishindwa hata ku-enroll hapo Dar Alliance Francaise tena wakati baba yake alikuwa diplomat? Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee