Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

mkuu hujasikia kuna msanii wa bongofleva amempigia magoti ustaz juma na mwanza?nasikia pia hau maustaz wanawasodomize wasanii wetu.

To be sincerely sijasikia kitu kama hicho. Then ni majanga kama wanavyoita wanaoishi mijini!!!!!!!!!!!!
 
Definitely! Their is no question about that! Na sio kosa lake, kadri ya simulizi zake ni kuwa baba alimtelekeza. Niliwahi kumsikia chanel 5 akilonga!

Labda JB au Jackie Wolper wanawezathubutu someday
 
Jamani tusi walaumu wasanii wetu, kwanza tujiulize je, mifumo yetu ya sanaa na michezo inatoa fursa sahihi ya kuibua na kukuza vipaji vya wasanii na wana michezo wetu?

Pia, tujiulize je, jamii (familia) zetu zina muamko wa kuthubutu kuchukua jitihada binafsi katika kuibua, kukuza, na kulinda vipaji vya wasanii na wana michezo wetu??

Hata Ukidadisi Maisha aliyopitia Lupita NYONG'O yana tofaut kubwa sana na maisha wanayo pitia wasanii wetu, kuanzia ngazi ya familia, jamii, mazingira, na hata muamko wa mambo ya sanaa.


SISEMI LUPITA Haku-struggle Katika Kufika Pale Alipo sasa, bali ni ukweli ulio wazi licha ya juhudi zake binafsi, pia amesaidiwa sana na aina ya maisha aliyopitia, hasa kielimu na kijiografia.


WATU WEUSI WENGI, HASA WAAFRIKA LEO HII TUNAJIVUNIA JINA LA LUPITA NYONG'O KATIKA UWANJA WA FILAMU, Lakini Tujiulize Je, Tunafanya Juhudi gani Katika Kutengeneza Kina NYONG'O Wengine???


TUWALAUMU WASANII WETU KWA LENGO LA KUWAZINDUA KUTOKA USINGIZINI, Na Sio Kuwaponda bila kuwapa msaada.
 
Jengeni hoja zitazowasaidia Wasanii wa Bongo! mada ipo mezani then nyinyi mnaanza kuongea umbeya kama Wanawake wa Uswahili! shame on you guys!!!!!
 
Sizani kama watakusoma mkuu manake hata JF wengi wao hawajui ni kitu gani wapo kama hawapo wanatumika tu hawjitambui kabsaa..
 
Ukiangalia ile filamu ya SUGAR utaona tofauti kubwa sana aliyonayo lupita na wale wasanii wengine waliocheza hyo movie ya wakenya.sishangai kupokea hiyo tuzo kubwa duniani.ni kama vile george weah alivyopata tuzo ya mchezaji bora wa dunia.the lady is talented sio wap amesomea.sanaa ya tanzania bado ni platform ya kupata mabwana wenye fedha na kuandikwa kwenye magazet
 
Kama hakutamani kuwa msanii, hizo bongo movies anaigiza kwa kigezo gani?
Of all the places, Malaysia nako kuna elimu? Najua mimi ni kilaza nilikimbia umande lakini siamini kama Malaysia kuna elimu nzuri.

Wema alianza kuigiza kupitia kwa marehemu Steven Kanumba, namnukuu wema alipokuwa akihojiwa baada ya kuanza kuigiza alisema, "Steven Kanumba ndiye mtu aliyeniingiza katika sanaa. Nilikuwa sijijui kama naweza kuigiza. Alinifuata na akaniambia kuwa nina kipaji". By the way, kama kutakuwa na maneno nimeongeza ama kupunguza nivumilie ila wasanii wengi hawa waigizaji hasa wakike, wengi wao wanasema kuwa wameingia kwenye sanaa kwa urembo waliokuwa nao. Wema hana na hatokuja kuwa na kipaji cha kuigiza.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kinachotokea kwa wasanii wa tanzania ni mwendelezo wa hekaya na kasumba ya watanzania kukosa focus ambayo labda husababishwa na upeo mdogo au mitazamo isiyokua huru, na hii ni hata kwa wanafunzi wetu ndo maana form six mtu anamaliza hajajua anatakiwa chuo kusoma kozi gani, wanasiasa nao pia hawako focused ndo maana hata sababu za taifa kua masikin hawazijui, hata jamii forum members wengi hawako focused ndo maana mnatukana hovyo na kwa werevu akikuona umetukana km mimi nakudharau tu , ndo maana kenyan na rwandees leo hii wanatuona km vichwa punguani kwa tunavokosa umakin ktk mambo yetu.
 
Focus bado ni tatizo kwa watanzania wengi sio wasanii peke yao ndo maana bado tunahusudu magari ya kutembelea na mavazi ilihali wengine huko walishatoka wanahusudu uvumbuzi, ubunifu na maendeleo endelevu



ukiangalia ile filamu ya sugar utaona tofauti kubwa sana aliyonayo lupita na wale wasanii wengine waliocheza hyo movie ya wakenya.sishangai kupokea hiyo tuzo kubwa duniani.ni kama vile george weah alivyopata tuzo ya mchezaji bora wa dunia.the lady is talented sio wap amesomea.sanaa ya tanzania bado ni platform ya kupata mabwana wenye fedha na kuandikwa kwenye magazet
 
To be honest sikuwahi kumsikia lupita kabla mpk juzi aliposhinda tuzo ya oscar ila filamu yake nilishawahi kuisikia lakini sikujua kama aliact yeye nitaitafuta na kuiangalia nione acting yake na mimi,so far hongera zake its a good thing kuona kwamba waafrika na sisi tunaweza,so hii iwe changamoto(inspiration) kwa namna moja ama nyingine kwa wasanii wengine local wa afrika mashariki kwa ujumla.
 
Wasanii wa kitanzania uwelewa wao ni mdogo sana wanaridhika na sifa zisizokua na mbele wala nyuma,bado sana.
 
RAY aliwah kusema ili filamu yako ifanye vzu lazima uwe n warembo..sas km akil ya masupa star wetu ndyo hi unategeme nn?
 
Baba yake Wema si alikuwa nae diplomat kama baba ya Lupita? Kumbuka huko Mexico, huyo Lupita alienda kusomea Spanish tu. Unataka kuniambia Wema alishindwa hata ku-enroll hapo Dar Alliance Francaise tena wakati baba yake alikuwa diplomat? Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

but sanaa kasoma us iyo nayo imemsaidia na lugha pia huyo wema hakuwahi kufikiria kuwa mwigizaji alikuwa kwenye urembo tu wahusika wakampenda wakamvutia huko but still wasanii wetu wengi hawana elimu wanaingia tu kwavile wanahisi wanajua kuigiza
 
Sio kila mtu lazima awe kama Lupita banaa
 
Amejitahidi. Ila sidhani kwa maadili yetu ya Kiafrika kuna sababu ya kujivunia.
Ile movie huweza angalia na Wazazi wako wala hata mdogo wako. Adult scene zipo nyingi sana. Mfano. Pale Lupita alipokuwa akichwapwa bakola chuchu zinaonekana na ------ yake meusi yapo wazi.
Sidhani kama ile scene angecheza Mbongo mngekuja hapa kumshangilia.
Watanzania tuache unafki.
 
Mfumo mbovu wa Elimu na maisha ndicho chanzo cha kukosa vipaji. Nakumbuka zamani mpaka mwanzoni wa miaka ya Tisini shule zikishandana ktk fani za Maagizo siku hizi sijui kama kuna kitu kama hicho.

Matokeo wengi wa wasanii wetu ni wanatokea mitaani bila mfumo wa aina yeyote ya kuendeleza vipaji.
 
Back
Top Bottom