mie hapa tutakesha mpaka asubuhi, ila lets agree to diagree, huyu mwanamke kapitia shoruba nyingi kupelekea kuzeeka ki mwili, katumia madawa , katoa ...., kajichubua n.k....inshort now ana umri miaka 23 ..anatimiza mwaka huu...hawezi kuwa na umri huo bwana, wakati akishiriki umiss tanzania 2006 alikuwa na umri wa miaka 18 na hata sura yake ilijionesha hivyo. sasa kama anaumri huo inamaana alikuwa miss tz akiwa na miak 16? big no...anamiaka 26 asituletee uwongo wake hapa...
Kamanda hapa ntabishana na wewe kwa herufu kubwa halafu natia bold kisha naongeza font size..Yaani sijui mtu uwe mjinga kiasi gani ndio aamini kuwa huyu demu ana huo umri...Huyu labda late 20s au early 30s ndiko mshale unakogotoea..Lupita btw akidanganya ana 26 mtu unaweza kuamini ila sio Wema bana....Wema ana dalili zote za utu uzima..
Eti huu uso umekula xmas 22 tu..No waaay...
lets agree to disagree...
ila mdogo wangu wa mwisho ambaye sasa anatimiza 24 ndo wako sawa, ila yeye wakiume, wakike wanakua vibaya, istoshe uyu kapata ustar akiwa mdogo, ukichanganya na ulimbukeni wa kutokomaa ki akili basi daah ,,,tabu tupu lafutuka ajabu
Nimekupa like maana daaah...Ngumu kumesa...Mi siamini bana..No way macho yangu yanapingana na usemacho.
Leo sio mara yangu ya kwanza kumsikia Lupita ila leo ndio nimeujua umri wake halisi.Lupita amezaliwa 1983 kwa hiyo ana miaka 31.
Ila inashangaza jinsi ambavyo Wema anayedai ana miaka 22 na Wolper anayedai ana 26 mbona sura zao zimelegea sana as if wamekula christmas nyingi kupita dada yao Lupita.
Kwa kweli ni vigumu mtu kunishawashi kuwa hawa warembo wetu ni wa wadogo kuliko Lupita.
Hawa dada zetu wamezidi kudanganya umri kama Wolper anaonekana kabisa yuko mid 30 ila anajifanya mdogo na kubehave kama teenager.
Dada zangu umri mkubwa nao una faida zake na pia kuishi kwingi ni baraka.Kwanini mnajirudisha nyuma wakati nyuso zetu zinaonesha nyie ni watu wazima?Au mnadhani mkisema umri wenu ndio hatutafurahia kazi zenu au mnaogopa nini hadi mtudanganye wakati tuna macho na tunaona kabisa mu wakubwa zaidi ya mnavyodai.
View attachment 143333View attachment 14333531 years old Lupita.
View attachment 143336View attachment 143337View attachment 143338View attachment 143340View attachment 14334122 years old miss Sepetu.
View attachment 143342View attachment 143343View attachment 14334526 years old Wolper
Wazungu nawachukia sana. ***** zao
mimi pia nachukia sana ubaguzi sana,sehemu nyingine ubaguzi upo ata kwenye nyumba za ibada,uko Asia na Uarabuni ndio balaha unakuta mtu anasali au anaswali sana lakini ni mbaguzi sana sasa sijui ni mungu gani wanaomuomba,harafu ndio wametuletea dini
mimi pia nachukia sana ubaguzi sana,sehemu nyingine ubaguzi upo ata kwenye nyumba za ibada,uko Asia na Uarabuni ndio balaha unakuta mtu anasali au anaswali sana lakini ni mbaguzi sana sasa sijui ni mungu gani wanaomuomba,harafu ndio wametuletea dini
Kiukweli kabisa,mimi ningeshamtia mtu kilema kama akionyesha hisia za kibaguzi mbele yangu.
Tatizo ni tabia yetu weusi kujiona wanyonge kupita kiasi...tatizo ni nini ? mnataka wazungu watuite weupe ? tuache ujinga....Huyo mzungu akikuita nyani na wewe si umuite nyani mweupe..? tofauti si rangi ya ngozi tu ?
Na kwa nini mtake weupe watusaidie eti kupigania haki zetu za kubaguliwa, kama wanavyofanya FIFA na wengine ?...huu ni upuuzi....
Just be happy people of colour...hakuna kitakachobadilika watuite au wasituite watakavyo.....
Mbona albino ni uzao wetu na bado tunawahesabu kama walemavu ? kama tatizo ni weupe nao si weupe ?...utaona ni udhalili kuitwa mweusi iwapo tu unatamani na kumuonea wivu aliye mweupe...na huu ni ujinga wa mwisho.
Tupambane duniani kwa mambo muhimu, kama sayansi na teknolojia, na kama yanatushinda bado tunamiliki urithi muhimu wa uumbaji wa dunia....mnahitaji thawabu gani zaidi ya rasilimali hizo tulizokabidhiwa na muumba.....wanyama, maliasili kibao ambazo hata kuzitunza zinatushinda, Tembo wanamalizwa tunakenua tuuu...mkiulizwa tatizo mtasema wazungu......
Mimi ninapokutana na mzungu na akaonyesha dalili ya kunibagua..huwa namwambia tu kimoyomoyo kuwa siku akiutambua ukweli atarudi na kuniabudu....
kwa mfano NUHU wa safina, anayeongelewa na vitabu vya kale, sio wengi watakubali kuwa alikuwa mweusi...na ndio maana hadi leo asilimia tisini ya wanyama walionusurika na gharika wanaishi afrika (mother land)
Hata ukifanya hesabu ya binaadamu walio/wanaofanya vizuri kwenye upande wa uwezo/vipaji vya asili (talents) ni weusi....ukianzia kwenye kandanda (Pele), boxing (Mohamed ally), music (Michael Jackson), kujenga safina (Nuhu), tenis (seren), Golf (Tiger woods).........