Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Wema hajadanganya umri sema mikorogo inakomaza sana sura za watu,kuna wasichana wengine hapa tz wana 18 tu lakini
 
Mmmh watu mna maneno!! Kiukweli Wema ni mzuri hata ukimwona live bila hizo camera 360, kuhusu umri nilimsikia akisema 2006 alikua na miaka 18 so mwaka huu ana 26
 
Wema kila siku yupo 22 ..au ni yale ya miaka 1000 ni kama siku moja kwake? Amekuwa mungu?
Sijui chibu ana mingapi mana nasikia wema kamzidi miaka 4

na kila mwaka anasherekea birthday..ila yuko 22 akizidi sana 23
 
Bora akivaa jeans au Dira inakuwa nafuu, akivaa vile vigauni vya kubana hadi huwa nahisi aibu kumwangalia
yani kalio lina pembe nne, teh hilo kalio au andazi....

Sio kalio mwenzangu linakuwa kma map isioleweka aiseee mm o saw that woman saloon ni mbayaaa omg bila make up naakiwa hana wig ukiwa muoga unakimbia. Mtoto mchanga anaweza kuwa bubu
 
Bora akivaa jeans au Dira inakuwa nafuu, akivaa vile vigauni vya kubana hadi huwa nahisi aibu kumwangalia
yani kalio lina pembe nne, teh hilo kalio au andazi....

Umenichekesha jamani😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛
Nimekupa LIKE lakini nimeona haitoshi. Ngoja niiandike kabisa LIKEEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom