Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Zile speculation kuwa huenda star mpya wa Hollywood Lupita Nyong’o ana uhusiano wa siri na mwigizaji mwenzake Jared Leto zimezikwa na speculation mpya kuwa huenda rapper na mwimbaji wa Somalia aitwaye K’naan ndiye mpenzi wa Lupita.
lupi-knaan-4.jpg

Picha mbalimbali zilizosambaa siku moja baada ya Tuzo za Oscar zikiwaonesha Lupita na rapper K’naan mwenye asili ya Somalia, wakiwa katika pozi zinazoashiria ukaribu mkubwa ndio zimezua speculation hizo.Katika picha hizo K’naana anaonekana pia amembebea tuzo yake ya Oscar.Keinan Abdi Warsame a.k.a K’naan ambaye amewahi kuhit na single yake ‘Waving Flag’ mwaka 2010, walionekana wakiwa pamoja siku ya Jumatatu wakati Lupita akitoka kufanya mahojiano na Live.

Ripoti zinasema kuwa K’naan pia alikuwepo katika matukio ya awali kabla ya siku ya Tuzo za Oscar kumpa support Lupita, na Lupita amekuwa akisema jinsi anayopenda muziki wake kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, na mwezi uliopita (February 27) alihudhuria show yake Hotel Café, huko Los Angeles ambayo pia alimsaidia kumfanyia promo.

 
Sio kalio mwenzangu linakuwa kma map isioleweka aiseee mm o saw that woman saloon ni mbayaaa omg bila make up naakiwa hana wig ukiwa muoga unakimbia. Mtoto mchanga anaweza kuwa bubu
hahaha kesho nkumbushe nikugongee like maana nimecheka mpaka baas!dah
 
Jamani wema ana sura mbaya basi tuu makeups zinaficha mengi
 
Sio kalio mwenzangu linakuwa kma map isioleweka aiseee mm o saw that woman saloon ni mbayaaa omg bila make up naakiwa hana wig ukiwa muoga unakimbia. Mtoto mchanga anaweza kuwa bubu

Lols. Km maimatha Jesse. Dduh
 
wema anasura mbaya vipodozi ndio vinamsitiri,shep ya wema ni mbaya sana ana hips za mmbwa,sijui mnamsifia nini
 
Back
Top Bottom