Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Zile speculation kuwa huenda star mpya wa Hollywood Lupita Nyongo ana uhusiano wa siri na mwigizaji mwenzake Jared Leto zimezikwa na speculation mpya kuwa huenda rapper na mwimbaji wa Somalia aitwaye Knaan ndiye mpenzi wa Lupita.
Picha mbalimbali zilizosambaa siku moja baada ya Tuzo za Oscar zikiwaonesha Lupita na rapper Knaan mwenye asili ya Somalia, wakiwa katika pozi zinazoashiria ukaribu mkubwa ndio zimezua speculation hizo.Katika picha hizo Knaana anaonekana pia amembebea tuzo yake ya Oscar.Keinan Abdi Warsame a.k.a Knaan ambaye amewahi kuhit na single yake Waving Flag mwaka 2010, walionekana wakiwa pamoja siku ya Jumatatu wakati Lupita akitoka kufanya mahojiano na Live.
Ripoti zinasema kuwa Knaan pia alikuwepo katika matukio ya awali kabla ya siku ya Tuzo za Oscar kumpa support Lupita, na Lupita amekuwa akisema jinsi anayopenda muziki wake kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, na mwezi uliopita (February 27) alihudhuria show yake Hotel Café, huko Los Angeles ambayo pia alimsaidia kumfanyia promo.