Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yani nimecheka jamani hizo nywele za wema duuuh!!!!
Lol, kapatwa na nini hapo?
Watanzania kwa majungu nawapa phd! Puuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Hatari sana..Inawezekana aisee...Ndio maana picha lazima wazipige kitu cha camera 360 ndio mvuto utokee..
Heee nimependa huwo msuko wa nywele wa wema lol......
Heaven on Earth uje unisuke na mie lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wema kila siku yupo 22 ..au ni yale ya miaka 1000 ni kama siku moja kwake? Amekuwa mungu?
Sijui chibu ana mingapi mana nasikia wema kamzidi miaka 4
Mmmh watu mna maneno!! Kiukweli Wema ni mzuri hata ukimwona live bila hizo camera 360, kuhusu umri nilimsikia akisema 2006 alikua na miaka 18 so mwaka huu ana 26
Mpododo umekaa kama box hauwezi kuwa real huo....ahahaaa mambo ya maweaving hayo! Jamani shepu ya wema ule mpododo wa ukweli hv ni mchina ama real?
Mpododo imekaa kama box hauwezi kuwa real huo....
Mpododo ule kma unga ambao haujakandika
Bora akivaa jeans au Dira inakuwa nafuu, akivaa vile vigauni vya kubana hadi huwa nahisi aibu kumwangalia
yani kalio lina pembe nne, teh hilo kalio au andazi....
Bora akivaa jeans au Dira inakuwa nafuu, akivaa vile vigauni vya kubana hadi huwa nahisi aibu kumwangalia
yani kalio lina pembe nne, teh hilo kalio au andazi....
anasema ana 23
hahahaaaaa nimechekaje jamani
nije lini kukusuka