Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waimbaji alo waweka ni lia lia....Hakuna kama rose muhando
Nitarud
Wivu tuRose mhando anakopi nyimbo za watu asa wanamziki wa south africa mfano nyimbo ya moyo wangu ni ya Rebecca malope moyo wami
Ninayo audio lakini jf inagoma kuwa attached.Mkuu wewe utakua ni legend kwenye tz gosple.
Naomba unisaidie nautafuta sana huu wimbo na aliye uimba.[emoji116]
..jehova nisi jehova shalom eloni baba nakuabudu jehova makaresh jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu..
#MaendeleoHayanaChama
Kikubwa waimbaji wanatakiwa kwenda kwa ajili ya huduma wakimwamini Mungu kwa ajili ya mahitaji yao. Hiyo ndio namna bora. Ninaamini makanisa yanayo hekima na hayawezi kumwacha mtumishi aondoke bila kuhudumiwa kwa mahitaji ya mwilini.Nadhani sio kwa kupenda kwao.
Sawa aimbe bure atoe huduma bure.
Je bills za umeme..usafirishaji..vifaa vya muziki..mahema..viti..mapambo n.k
Vitalipwaje???
#MaendeleoHayanaChama
Watu waliotokea traditional churches huwa wako limited sana na kudhani Mungu analazimika kuyatumia makanisa yao tu. Wanasahau kwamba hata hayo yanayoonekana makubwa sasa hivi yalianza kwa kupingwa hivyohivyo.Wewe ni nani kuhukumu..hujui uwepo wa haya makanisa ndio ueneaji mkubwa wa injili.
Au ulitaka waje kusali kwako ndio uone wako sawa.?
#MaendeleoHayanaChama
Nadhani hapa umekuwa too critical bila kutumia maandiko. Haifai kuweka imani kwenye vitu kama source ya nguvu lakini vinaweza kutumika kama transference object.Kupitia maandiko magugu yanaonekana,bora watu waambiwe ukweli waamue wenyewe kutembea na ngano au magugu.
Injili zingine za shetani kupitia maandiko mfano
1.Daudi alicheza hadi akabaki uchi, 2.Mungu anaangalia roho
3.Mafuta, chumvi,maji,upako,hizi ni hirizi toka lini Yesu akachanganywa na visaidizi hivi vya kipepo.Au tangu lini shetani akayaogopa mafuta aliyowapa watumishi wake?
Haya ni mafundisho ya kuzimu kupitia mawakala wao makanisani.
Boaz atakuja kuingia miaka ijayo.. pastor Safari naona kama hajawekeza zaidi kwenye uimbaji.Boaz dunken umemkosea sana pamoja na pastor safari
Wakatoliki siku hizi wengi mmeshakuwa wapentekoste kwenye suala la nyimbo za injili.Wakatoliki tunaisoma post yako kwa mbaaalii
Boss huu wimbo ninao nikoo dar ukoo kwenye external...unaikumbukaa ilee sauti ikatokaa dahMkuu wewe utakua ni legend kwenye tz gosple.
Naomba unisaidie nautafuta sana huu wimbo na aliye uimba.[emoji116]
..jehova nisi jehova shalom eloni baba nakuabudu jehova makaresh jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu..
#MaendeleoHayanaChama
Alitumia mafuta mara moja tena kwa tukio maalumu na sio KILA siku kwa muendelezo. Alisema tuponje kwa jina lake na sio kwa hivyo visaidizi vyenye lengo kuu ni kumfifisha Yesu Kristo watu waache kutumainia jina lake bali hizo hirizi. Mtu mdhambi ujui kuomba hivyo vi mafuta vitafaa nini kwako uoni ni lengo la kuwaibia vipofu wa maandiko tu.Nadhani hapa umekuwa too critical bila kutumia maandiko. Haifai kuweka imani kwenye vitu kama source ya nguvu lakini vinaweza kutumika kama transference object.
Yesu mwenyewe aliwapa mafuta wanafunzi wake. Soma Marko 6:13 na pia mitume waliendelea kuyatumia. Soma Yakobo 5:14-15. Chumvi na unga vilitumiwa na nabii elisha na vitambaa vilitumiwa na mtume Paulo.
Ni hatari kutoa hukumu kwa hisia badala ya kufuatilia maandiko yanasemaje. Pia ni hatari kutumia vitu vya namna hii kama magical stuffs. Inatakiwa vitumike kwa imani ndani ya jina la Yesu Kristo.
Hao waimbaji hta siwafahamuWakatoliki tunaisoma post yako kwa mbaaalii
Nyimbo za huyu jamaa zinakuwaga na upako yan mtu unasikiliza mpaka inafika mda unafarijika
Mkuu hakuna mtu aliyekupangia.. pia list inaweza kubadilika katika siku zijazo.Kila mtu ana vionjo vyake. List ya mtoa post ipo sahihi kwa vionjo vyake.
Nami nikiweka yangu ipo sahihi kwa vionjo vyangu. Hivyo mtoa post usimpangie mtu kile unachoona wewe kinakufaa, sio lazima tufanane...
Kwa maoni yangu, ukishaweka neno "...kuwahi kutokea" halafu ukamuacha Rose Muhando, ukamuweka Ipyana ambaye huku kijijini kwetu hata jina tu hajulikani, ni madharau ya viwango vya Tozo.
Roze mpk mabanda ya Cinema aliingizia kipato sana wakulungwa. Nyimbo zake zimepigwa mpk Bar na vichochoroni...so, list yako ina walakini japo sipingi, ni vionjo vyako sio vya jamii nzima!
Hakuna wivu ni ukweli ndio huoWivu tu
Mbona ana nyimbo nyingi nzuri kuliko hiyo ?