Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Hii list haikamiliki bila kuwemo dada rose muhando
 
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kofi! Hivi Ambwene unamfuatilia vizuri? Kwanini umuweke nafasi ya mbali? Vipi kuhusu Mercy Masika? Mbona hujamtaja kwenye makundi yako yote matatu! [emoji35]

Ushaniharibia siku
Mercy ni mkenya
 
Debora alifanya kazi gani?
Kuongiza vita haikuwa uongozi katika agsno la kale?
Ngoja nipeleke mada kuhusu wanawake na uongozi kwenye maandiko. Wengi huyapotosha maandiko kwa kusoma na sio kutafakari. Nabii Deborah ni ishara ya taifa kuwa chini ya laana. Nitafafanua
 
Kweli Rehema nimemsahau bahati mbaya, anastahili kuwepo list ya pili.

Sidhani kama ni sahihi kumfananisha Martha na Bahati. Martha yupo level ya juu sana kwa bahati. Nyimbo za bahati siku hizi hazina uhalisia wa neno la Mungu.
Emanuel mgogo vp

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Yule wa Kahama aliyemwimbia Ruto ni nani?
 
Lakini biblia inaruhusu kuacha na kuoa mwingine kwenye jambo moja tu, iwapo mtu ni mzinzi. Sasa hatujui utaratibu wa hilo kanisa.

Mimi kanisani ninaposali hairuhusiwi kuacha na kuoa mwingine kwasababu yoyote ingawa mimi naona clearly biblia haijazuia endapo mtu ni mzinzi.

Na mzinzi hapa ni hasa pale mtu anaporudia hiyo tabia na wala habadiliki.
Hiyo ya kurudia umeongezea wewe
 
Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidia
kipindi kwaya zipo juu huyu na Munishi walikuwa solo wakieneza injili haswa
hawa ni wainjilisti waliokuwa wanaimba haswa
hao iliowataja wote ni kizazi cha kusapotiana instagram
Anawimbo wake unaitwa taifa teule israel walimuasi bwana na ule wa mwili ndo.my best song za jangalason
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Huyo Gozbeth muimbaji wa gospel asiyetaja jina la Yesu kwenye nyimbo zake.
 
Wewe humfahamu Jangalasoni...huyu ni mtumishi wa Mungu ambaye ameimba ktk upako kwa miaka mingi kabla hajaondoka nchini,kizazi cha miaka ya 80' mpk 90' +2000 mwanzon kinamjua vzr
Jangalason yupo nchini mbona ni askofu sikuhizi kanisa lake lipo goba
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
ENDELEENI kubarikiwa. Na huu wimbo huyo Bwana Mdogo Yohana anajua
 
Napenda - Geraldine Oduor ft Christina Shusho ( Cover by Rehema Tchaku )

Source : Slam Channel
 
Sijawahi kumsikia.. ajitahidi sasa na neema ya Mungu imsaidie afikie viwango vya kitaifa.
Utakuwa ulichelewa kusikiliza muziki wa Injili. Jamaa ni Bishop kwa sasa alitoa album yake ya kwanza mwaka 1998 kama sio 1999 inaitwa DUNGWA SINDANO, anajua sana, na uandishi wake anaweka mistari yenye kama comedy hivi.. ni mwimbaji mzuri sana na alifit kuingia kundi lako la 1, tafuta nyimbo zake kama Chibuku, usiwe kama popo, scholarship, kanyumba kadogo, maneno nk

#IGITARAMO LIVE !
RWANDA

Rose Muhando in Kigali - Nibebe, Yesu Wee Nakupenda, Ndivyo Ulivyo ....

Source : IWACU FILMZ
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Christopher Mwahangila na Boaz Danken walipaswa wawe hapo list ya juu
 
Back
Top Bottom