Na bado,,in a very few years to come Uingereza itakuwa kama middle EastHii ni huko London,
View attachment 3288963
Nadhani ni Mgomo wa Wabeba taka BirminghamAisee pachafu sana Meya wa Jiji yuko wapi?!
Hahaha yaani we umsaidie muingereza🤣🤣🤣🤣🤣Waingereza wana maisha magumu kwa sasa. Kama tuna chochote tuwasaidie. Wanadai ukiitoa London kungine huko hamna kitu. Vijana wamejiajiri kwa kukaba watu kwa kutumia visu.
Ni mhamiaji mzungu. Wnaopigwa vita sasa ni wahamiaji wa kiarabu na wa Asia.Elon naye ni muhamiaji tu.
Kutoa ni moyoHahaha yaani we umsaidie muingereza🤣🤣🤣🤣🤣