Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

Alafu mbona hao watu kwenye hiyo video ni kama wale watu waleee wa mchinjano,
 
We ni miongoni mwa wapumbavu tu, DRC nani anafanya vurugu zisizoisha?.. gaddafi kang'olewa na nani,sankara aliuawa na nani,nani anapanga bei ya mazao na madini ya tanzania?
Wewe ndio mjinga kabisa na una akili za kijinga kama jihadist. Kama mtaendelea kutafuta vijisababu vya kijinga kwamba ndio vinasababisha muwe vituko duniani basi mtaendelea kuwa kichekesho hivyo hivyo hadi mwisho wa dahari.

➡️ Matatizo ya Congo yanachochewa na Rwanda ambaye anawafagilia Banyamulenge akitaka wapatiwe uraia au Congo imegwe wapate nchi yao na pia kwa upande mwingine na magaidi wa kiislamu wa Allied Democratic Forces (ADF).

➡️ Dikteta Gadaffi aliuliwa na Walibya wenzake aliokuwa akiwanyanyasa kwa zaidi ya miaka 40 na wakati anauwawa huyo dikteta hakukuwa na mzungu yeyote kwenye eneo la tukio.

➡️ Sankara aliuwawa na akina Blaise Compaore na wenzake na hakuna mzungu aliyekuwepo siku Sankara anauwawa.

➡️ Hakuna anayekulazimisha ukauze mazao au madini kwa wazungu, kama hamna akili ya kutafuta soko mbadala la kuuzia bidhaa zenu basi huo ni ujinga wenu wala msitafute visingizio vya kijinga.
 
Dah, tazama hii mbulukenge!!
 
Labda Birmingham hapo
Maana huko ndio wabeba taka wamegoma kufanya kazi na kusababisha taka zisibebwe kwa masiku.

Yaani panya wametoka kila kona na uchafu kila kona ya mji

Mpaka sasa kuna tani 17,000 za takataka zimezagaa kila mahali

Mkuu jiji la London ni kubwa, ni sehemu gani hiyo kwenye Asians wamejaa hivyo
Kuna baadhi ya sehemu kama West London ambapo panaitwa Little Punjab (Southall) lakini hakuna uchafu hivyo

Hebu angalia Birmingham bin strike uone
Au Mitaa ya India jamaa anatuuza eti Wingereza
 
Niliangalia documentary fulani ase uingereza inakufa asipotokea mzalendo wa kuikoa within ten years itakuwa km beirut au baghdad 😁
Kwani waingereza kwa sasa kuna nini cha maana wanachofanya hapa duniani?
 
Kuna siku nilitoa uzi unaosema

Baadhi ya watu wakaniona mimi bwege. Taifa la Uingereza lisipoirudisha ile kasi yake ya karne ya 19 kurudi nyuma litaachwa mbali na mataifa mengi.
 
Na nyie watanzania mna nini cha maana mnachokifanya, tuanzie hapo kwanza. Let us be fair.
Sisi tunajulikana kwamba hatuna tulichowahi kufanya. Ila waingereza angalau miaka ya nyuma walikua wanasikika sikika kwenye nyanja mbali mbali. Siku hizi naona nao wamekua kama sisi tu ni blaa blaa nyingi cha maana hakuna.
 
Back
Top Bottom