Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

Hawa ******* wako kwenye economic recession , hata Germany nayo inaanza kudegrade kuwa third world nation polepole, kiufupi Europe nzima nchi wanachama wana hali mbaya , na tunapoelekea watakuwa third world nations Maana USA naye anaanza kuwatenga
 
Labda Birmingham hapo
Maana huko ndio wabeba taka wamegoma kufanya kazi na kusababisha taka zisibebwe kwa masiku.

Yaani panya wametoka kila kona na uchafu kila kona ya mji

Mpaka sasa kuna tani 17,000 za takataka zimezagaa kila mahali

Mkuu jiji la London ni kubwa, ni sehemu gani hiyo kwenye Asians wamejaa hivyo
Kuna baadhi ya sehemu kama West London ambapo panaitwa Little Punjab (Southall) lakini hakuna uchafu hivyo

Hebu angalia Birmingham bin strike uone
 
Hawa ******* wako kwenye economic recession , hata Germany nayo inaanza kudegrade kuwa third world nation polepole, kiufupi Europe nzima nchi wanachama wana hali mbaya , na tunapoelekea watakuwa third world nations Maana USA naye anaanza kuwatenga
Tukikata wizi wao wa rasilimali,tutaharakisha hilo
 
Green St, London E7
Ila sio kama picha ya kwanza ilikuwa pachafu Mkuu? Hapo ni baada ya usafi
Ila kweli London au UK kwa ujumla wahamiaji ni wengi sana
Na Wahindi wao wakiingia mahali wanafanya kazi kwa malengo
Kama ni miaka 5 au 10 inategemea na kipato halafu lazima afanye biashara

Ila wanasaidia sana kukuza uchumi wa nchi
Na wengine wanakimbia sasa kina Lakshmi Mittal na wenzie
 
Trump na Elon Musk ni kama wanawashtua wazungu kwamba tukiendelea hivi tutaishi.

Walichemka wenyewe kukaribisha hao watu acha yawakute.
Elon ni muhamiaji kutoka africa, trump mke wake pia ni muhamiaji, makamu wa raisi pence naye mke wake muhamiaji, huwezi kuzuia movement za watu duniani maana its a win win situation ndio maana marekani kaweka utaratibu wa kila mwaka kuchukua wahamiaji kupitia njia mbali mbali ikiwemo greencard
 
Watanzania wanaongoza kujadili, kuumia, kupoteza nguvu na pesa kujadili matatizo ya nchi za watu kuliko matatizo yao wenyewe. Hao UK pamoja na huo umaskini mnaodai wanatibiwa, wanasomesha, wasio na kazi wanalipwa, watoto under 18 wanalipwa allowance kila mwezi, na mengine chungu nzima.
 
It seems kina Kiranga et al naona hawatimizi majukumu yao vizuri.
Mini sikai machafuni huko London ya Wajamaica na wahamiaji na Waingereza masikini imechooka..

Mimi nakaa Marekani ya proper middle class tunalipa watu waje kutukatia majani kila wiki.

Manicured lawns, what do you know about that?

lawncare-header-1024x512.jpg


Mtaani kwangu ukiharibu majani ya common grounds tu unaweza kupigwa faini kati ya $300 mpaka $ 800 kutegemea na ulivyoharibu.

Kuna siku nilikuwa najenga deck nyuma ya nyumba yangu, nikampa kazi contractor mmoja. Akalazimisha kupitisha gari lake kwenye common ground. Serikali ya mtaa wangu ikanipiga faini $800. Na mimi nikamwambia yule contractor unajua ulichofanya nimepigwa faini ya $800, nitakukata kwenye malipo yako kwa sababu wewe ndiye umesababisha hii. Akakubali, nikamkata. Ilikuwa namlipa kama $20,000 hivi, nikamkata about $800 humo.

Ninapokaa mimi hatutaki ujinga.

Watu wanajali usafi, wanajali property values.
 
Acheni visingizio, rasilmali na fursa zimejaa kwenu lakini bado mmeshindwa kuendelea, zaidi ya nusu ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku.
We ni miongoni mwa wapumbavu tu, DRC nani anafanya vurugu zisizoisha?.. gaddafi kang'olewa na nani,sankara aliuawa na nani,nani anapanga bei ya mazao na madini ya tanzania?
 
Elon ni muhamiaji kutoka africa, trump mke wake pia ni muhamiaji, makamu wa raisi pence naye mke wake muhamiaji, huwezi kuzuia movement za watu duniani maana its a win win situation ndio maana marekani kaweka utaratibu wa kila mwaka kuchukua wahamiaji kupitia njia mbali mbali ikiwemo greencard
USA haikatai uhamiaji inakataa uhamiaji haramu
 
Niliangalia documentary fulani ase uingereza inakufa asipotokea mzalendo wa kuikoa within ten years itakuwa km beirut au baghdad 😁
 
Back
Top Bottom