Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

Labda Birmingham hapo
Maana huko ndio wabeba taka wamegoma kufanya kazi na kusababisha taka zisibebwe kwa masiku.

Yaani panya wametoka kila kona na uchafu kila kona ya mji

Mpaka sasa kuna tani 17,000 za takataka zimezagaa kila mahali

Mkuu jiji la London ni kubwa, ni sehemu gani hiyo kwenye Asians wamejaa hivyo
Kuna baadhi ya sehemu kama West London ambapo panaitwa Little Punjab (Southall) lakini hakuna uchafu hivyo

Hebu angalia Birmingham bin strike uone
 
waingereza wana hali ngumu sasa kwanza jeshi Lao limedhoofika sana sasahiv hata vifaa ni vya zamani pia vijana hawataki kujiunga na jeshi. Mafuta yamepanda bei sana kutokana na mgogoro wa Russia na Ukraine kwasababu walikua wanatumia ya urusi sasa inabidi waagize kutoka india
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…