Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.