Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Hili ni kweli amaKumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Chanzo cha vurugu yote Iran ni baada ya mwanamke mmoja kukamatwa na askari akiwa hajafunika kichwa.Hili ni kweli ama
Tena wanawachapa weusi ila wazungu wakila wanawaacha tuKumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Yani lazima mtafute njia muingize jina la JPM kwenye mijadala pumbav sanaKipindi cha JPM hata mi nilishangilia timu pinzani zilipocheza na Tanzania
Unajuaa maana ya neno "ujinga"?Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Shetani lazima akemewe muda woteYani lazima mtafute njia muingize jina la JPM kwenye mijadala pumbav sana
Unaweza kuta shetani ni ww.Shetani lazima akemewe muda wote
Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.Unaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.
Mimi piaKipindi cha JPM hata mi nilishangilia timu pinzani zilipocheza na Tanzania
Wale wamezidisha chumvi, hakuna mahali dini imesema atakaekaa kichwa wazi auwawe, nadhani ndio maana huko qatar hakuna hizo kesi.Chanzo cha vurugu yote Iran ni baada ya mwanamke mmoja kukamatwa na askari akiwa hajafunika kichwa.
Baada ya kumkamata wakamuua, wanawake na baadhi ya wanaume wakasema hii haiwezekani.
Wakaanza maandamo huku baadhi ya wanawake wakiwa vichwa wazi, wakahukumiwa tena kifo wanawake 6.
Vurugu likapamba moto maandamo kila kona mpk leo hii.
Zanzibar ukitafuna pipi mwezi wa ramadhani bakora za mgongo zinakuhusuWale wamezidisha chumvi, hakuna mahali dini imesema atakaekaa kichwa wazi auwawe, nadhani ndio maana huko qatar hakuna hizo kesi.
Mie nijuacho tumeambiwa tusilazimishane katika dini, we toa elimu tembea atakaetaka kufata atafata asiyetaka aache, tutajuana kesho kwa mungu.
Hawa wanaifanya dini ionekane kama gunia la miba,
Ameambiwa mwanamke ajistiri ila sijasoma sehemu kuwa asipojistiri auawe.