makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Shida siyo kupiga mtu mgongoni, je imeandikwa hivyo mtu mtu apigwe mgongoni au mpigaji anapiga kwa mihemko yake?Zanzibar ukitafuna pipi mwezi wa ramadhani bakora za mgongo zinakuhusu
Wa kuuwawa Upo wengiNunua jenereta kenge wewe mlizoea vya bure pumbavu,mtaolewa mwaka huu
Yeah sure alikuwa shetani wa maendeleoTafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Jiwe aliharibu san nchi, jina lake litadumu milele na milele, ni kama jina la Idd AminYani lazima mtafute njia muingize jina la JPM kwenye mijadala pumbav sana
Usisahau pamoja na kuua raia na kuongoza kikundi cha watu wasiojulikanaUnaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.
nakaziaKumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Hii ndiyo point sasa. Ukiwa na pesa sidhani kama unaweza kuwa unapiga kelele kwa vitu kama hivi. Watu wanasahau kuwa tuko kwenye ubepariTafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Mwakani naenda huko zenji na nitakula kama kawaida mpuuzi asogeze pua kama sijampiga ya kichwa *****Zanzibar ukitafuna pipi mwezi wa ramadhani bakora za mgongo zinakuhusu
Ujinga sanaKumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Hizo propaganda zenu hazina ukweli ww.Usisahau pamoja na kuua raia na kuongoza kikundi cha watu wasiojulikana
Wenye pesa hawana roho za chuki zisizoisha kama Ke, acha utoto we zwazwa[emoji57]Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Dini ya mnyezi hiyo mkuuKumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Alikuwa bwanaako?Yani lazima mtafute njia muingize jina la JPM kwenye mijadala pumbav sana
Alikuwa mume wa Baba yakoAlikuwa bwanaako?
Alikupa wewe na ukoo wenuUnaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.
lini ulikuwa hauna umeme na maji?Unaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.
Akili yako fupi kama kimba tafuta choo uyafutike.Alikupa wewe na ukoo wenu
Mpuuzi ww unaongea ushuzi.Umenunua jenereta halijawaka
au umefunga solar imekataa ?
maji kama hakuna waite mvua ?
ficha upumbavu
huku napokaa umeme haukatiki kabisa
Magauni ya waarabu yapi hayo, mbona Papa na yule wa Anglikana wanajivalisha hayo hayo lakini kwa decorations tafauti? Halafu tena mpaka kikofia yakhe.yaani wale wapuuzi wakishavaa makobazi na yale magauni ya waarabu wanajiona wamekata tiketi ya peponi halafu walivyo wapuuzi wakija kwako bila kuchinja wao hawali