makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Shida siyo kupiga mtu mgongoni, je imeandikwa hivyo mtu mtu apigwe mgongoni au mpigaji anapiga kwa mihemko yake?Zanzibar ukitafuna pipi mwezi wa ramadhani bakora za mgongo zinakuhusu
Dini siyo mihemko, dini ina kanuni zake na sheria zake, wakurupukaji wanaharibu maana nzima ya dini.
Huyo mtume hajawahi mchapa mtu kisa anatafuna mwezi wa ramadhani.