Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

Zanzibar ukitafuna pipi mwezi wa ramadhani bakora za mgongo zinakuhusu
Shida siyo kupiga mtu mgongoni, je imeandikwa hivyo mtu mtu apigwe mgongoni au mpigaji anapiga kwa mihemko yake?

Dini siyo mihemko, dini ina kanuni zake na sheria zake, wakurupukaji wanaharibu maana nzima ya dini.
Huyo mtume hajawahi mchapa mtu kisa anatafuna mwezi wa ramadhani.
 
Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Yeah sure alikuwa shetani wa maendeleo
 
Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
nakazia
ni upuuzi wa hali ya juu.. yaani wale wapuuzi wakishavaa makobazi na yale magauni ya waarabu wanajiona wamekata tiketi ya peponi halafu walivyo wapuuzi wakija kwako bila kuchinja wao hawali
 
Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Hii ndiyo point sasa. Ukiwa na pesa sidhani kama unaweza kuwa unapiga kelele kwa vitu kama hivi. Watu wanasahau kuwa tuko kwenye ubepari
 
Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Ujinga sana
 
Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine
Wenye pesa hawana roho za chuki zisizoisha kama Ke, acha utoto we zwazwa[emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Dini ya mnyezi hiyo mkuu
 
yaani wale wapuuzi wakishavaa makobazi na yale magauni ya waarabu wanajiona wamekata tiketi ya peponi halafu walivyo wapuuzi wakija kwako bila kuchinja wao hawali
Magauni ya waarabu yapi hayo, mbona Papa na yule wa Anglikana wanajivalisha hayo hayo lakini kwa decorations tafauti? Halafu tena mpaka kikofia yakhe.

Usitukane tu utaishia kujitukana mwenyewe.
 
Back
Top Bottom