Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

Hii ndiyo point sasa. Ukiwa na pesa sidhani kama unaweza kuwa unapiga kelele kwa vitu kama hivi. Watu wanasahau kuwa tuko kwenye ubepari
Ubepari haulei ufisadi. Hakuna anayepewa umeme bure. Tunanunua umeme tena prepaid. Ni haki yetu kuupata. Kama hauwezi kuleta maendeleo, usikusanye kodi. Kwani kuna mtu anayetaka cha bure.

Huko kwa mabepari wenyewe, watu wanafungwa kwa kukwepa kodi na hawafagilii sura kwamba wewe sijui ni nani.
 
Anaekula anatakiwa akale nyumbani kwake au hotelini kwenye chumba chake, siyo barabarani.
Nasikia hii imeandikwa kwenye katiba ya Zanzibar! Aisee, kufata Dini kimkumbo ni uwendawazimu.
 
Serikali ya Irani ni hovyo kuwahi kutokea inapenda watu wake wote waende peponi hata wakikosa kosa kidogo mtu auawe yaani Serikali inapenda pepo kuliko Raia uliona wapi hiyo...wao uhai wanauchukulia kama vile unaokotwa tuu hawathamini binadamu hata kidogo wale ni ustaarabu tu na huu mchanganyiko wangeweza kufanya vitu vya ajabu sana zaidi ya hiyo ya kufunika uso na kuuawa...
 
Tafuta pesa ununue generator na uchimbe kisima. Hautopiga kelele tena kuhusu umeme na maji
 
Tafuta pesa ununue generator na uchimbe kisima. Hautopiga kelele tena kuhusu umeme na maji
Niliowalipa gharama za kuunganisha umeme na kuleta umeme wanafanya kazi gani!? Anayeshindwa kutekeleza mkataba ndiye anayelipa. Huo ndio ubepari.
 
Magaidi ndio walivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
iran anaipenda USA japo hataki kusema
 
Nasikia hii imeandikwa kwenye katiba ya Zanzibar! Aisee, kufata Dini kimkumbo ni uwendawazimu.
In fact hutakiwiki kupigwa bakora, zaidi ni kupelekwa Polisi na mwishoe jela kwa mwaka mmoja.

Hii ya bakora ni nafuu kuliko ya kufungwa mwaka mmoja !
 
Tafuta hela nunua jenereta au funga solar,tafuta hela chimba kisima hapo kwako,tafuta hela kila ofisi utakayoingia utahudumiwa vizuri tu.
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine

Shetani anamjua shetani mwenzie [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…