JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Ubepari haulei ufisadi. Hakuna anayepewa umeme bure. Tunanunua umeme tena prepaid. Ni haki yetu kuupata. Kama hauwezi kuleta maendeleo, usikusanye kodi. Kwani kuna mtu anayetaka cha bure.Hii ndiyo point sasa. Ukiwa na pesa sidhani kama unaweza kuwa unapiga kelele kwa vitu kama hivi. Watu wanasahau kuwa tuko kwenye ubepari
Huko kwa mabepari wenyewe, watu wanafungwa kwa kukwepa kodi na hawafagilii sura kwamba wewe sijui ni nani.