Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
 
Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.

Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .

Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.

Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.

Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
 
Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome..
Sijajua lengo la uzi wake ni nini ila naona analazimisha na kutafutiza ubaya wa Ukristo kwenye biashara ya utumwa na anashindwa kutofautisha Ukristo (Imani) na wazungu (Race na culture ).

Hii inatokana na mfululizo wa nyuzi za kuupokda uislam na kuwa inferior tokana na kipigo cha Mbwa Koko anachopata mfuasi wa mnyazi mungu(allah) anayetetewa na binadam na sio yeye kumtetea kiumbe chake dhaifu.
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Acha unafiki kina Tipu Tipu,kina Seyid Said,Baragash walikuwa dini gani

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Kamsome Tip Tip, abushir, hili ndilo lilikuwa jangili la kukamata watumwa kutoka Bara na kuwapereka Zenj,
Historia ya dalasa la tano,kasome vzr
 
Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwachukua watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri.
Kanisa duniani limeomba msamaha kushiriki biashara ya utumwa.
 
Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwa watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri
Huyo bushir alikuwa mkristo? Mashamba ya karafuu Zenj, yaliyokuwa yanamirikiwa na waarab, vibarua walikuwa wa Japan? Mzungu alipereka watumwa, ulaya, mwarab(islam) alitumia watumwa Zenj, na Ukanda wa bahari ya, Hindi,
Basda ya mapinduzi, ya viwanda ulaya, watumwa hawakuhitajika tena, ulaya, Ila Zenj ya kiislam biashara iliendelea? Kenge tumia akili bro! Omba hata kitabu cha Historia cha dalasa la tano, facts zipo documented vzr tu.
 
Hizi hadithi ni sawa na paukwa pakawa unazipata Sunday school
 
Vichaa mnazidi kuongezeka Kila siku unahadithiwa na vichaa wenzio huko kwenye gongo unakuja kuleta mashudu hapa, Kila siku mnaandika upuuzi wenu hapa kwamba hapakua na taifa linaitwa Israel kabla ya vita ya dunia alafu unakuja kuandika kwamba Israel walipigana vita ya dunia, zimekuenea kweli wewe 🤔🤔🤔
 
Wewe na UNO nani anajua? UNO wakiristo lkn wanaamini hivyo. Wewe mfuasi wa kibwetere unakuja na ngonjera humu
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Mkuu unaijua biashara ya watumwa iliyokua inafanywa na waarabu wa Oman walowezi wa Zanzbar na watoto wao machotara kuanzia Kilwa na Bagamoyo na Pangani na Zanzbar mpaka kule Unyanyembe na Ujiji na kwa Wamanyema mpaka Karagwe na Uganda.
 
Kwa hivyo waarabu ndio wakiwatesa huko ktk kanisa la mkunazini watumwa? Au sijakufahamu
 
Hizo unazoleta wewe ndio ngonjera kwa nini uandike kwamba Israel walishiriki vita ya dunia na wakati unaamini Israel ilikuja baada ya vita ya dunia🤔🤔
Umeandika nini? Hata wenzio hawajafahamu
 
Back
Top Bottom