Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Mpaka leo Sudan mtu mweusi Anaitwa Mtumwa af unasema Uislamu haujahusika kwenye Utumwa. Ukisoma Hadithi kuna Yule jamaa anaitwa Bilal aliewekwa kuwa msoma Adhana kwa ajili ya sauti yake na yule alikuwa Mtumwa kabla ya kupata kile cheo
 
Hata marekani watu weusi wanauliwa kama kima tu
 
Hata marekani watu weusi wanauliwa kama kima tu
Malaria, kweli wewe malaria kama jina lako lilivyo, la sivyo husingeendela kuandika huu upuuzi. Afghanistan hapa juzi tu baada ya Taleban kushika tena madaraka, tulikia vilio vya kina mama wakizuiriwa hata kutangaza kwenye television, hawaruhusiwi kuendesha gari na unyanyasaji mwingi tu. Endeleeni na dini yenu msitake kuchokoza watu wa dini nyingine.

Ukiona yamekushinda chukuwa bomu jilipue kama kawaida yenu.
 
Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwachukua watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri.
Kanisa duniani limeomba msamaha kushiriki biashara ya utumwa.
Ni waislamu(waarabu) hajawahi kuomba msamaha.
Arabic countries zilikuwa Maskini 🤣🤣🤣 we itakuwa ulifeli aisew 🤣🤣🤣
Kipind hicho kuna expansion ya Islamic empire kina mansa musa Mtajiri zaidi ya suleymani
Mansa Musa hakuwa mwararabu.
 
Hii mada inamwelekeo wa kidini sana, na hizi dini uislam na ukristo zote kwapamoja, walishiriki biashara ya utumwa viongozi wote wa dini!?
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Bado unaendelea kuisifia dini yako hiyo iliyobuniwa na roman catholic.

Mtaendelea kudanganyana hadi lini??
 
Back
Top Bottom