Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.
Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .
Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.
Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.
Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
Utumwa kati ya Africa/East Africa ulifanywa na Waarabu tangu 650 A.D. mpaka 1963 A.D. kwani utumwa Saudi Arabia ulifanyika mpaka 1963 A.D. cha kusikitisha watumwa weusi kule Middle East (Uarabuni) waliopelekwa mamilioni kwa mamilioni mpaka leo hakuna visasi vyao, walihasiwa! Lakini waliopelekwa Western World kama Marekani, America Kusini wako kwa mamilioni, mfano kule Brazil wako zaidi ya million 70 na USA wako zaidi ya millioni 50, kule Haiti wako zaidi ya million 12. Uarabuni yaani Iraq, Iran, Yemen, Syria, Jordan, Lebanon, Saudi Arabia wako zero!!!!