Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Uislamu ni uarabu kwa sababu kuanzia mavazi ni asili ya Uarabuni. Na hata ukiangalia dini yenu inafundishwa kwa kiarabu. Na ukifuatilia historian uislamu una matabaka. Hata ukienda uarabuni kuna familia na koo zina matabaka juu ya wengine.
Umefafanua vizuri mkuu na umejibu swali lake
 
Nimefurahi umejibu vizuri Cha kwanza inabid tutofautishe uislamu na Uarabu kwanza hapo tutakuwa sawa...
Si kila muarabu ni Muislam na sio kila mu islam ni muarabu...
Ni sawa na kuufannanisha ukristo na Uzungu...
Asilimia tisini 90% ya waarabu ni waislamu na pia tamaduni za uislamu zimekopi tamaduni za kiarabu mpaka lugha.Ndio maana watu wanazifananisha na ni kweli zimefanana.
SWALI LA JAMAA NI KUHUSU WAISLAMU WAARABU NA UTUMWA NA NIMEMJIBU VIZURI SANA HAPO JUU.
 
Kitabu nilichokupa usome kinaelezea ukweli kuhusu biashara ya utumwa katika pwani ya medetranian na kinajibu swali la mdau kuhusu waarabu na uislamu na biashara ya utumwa.
NB: TUSITOKE NJE YA MADA HUSIKAView attachment 2795481
Huwezi kusoma kitabu kilichojkita kwenye chuki Juu ya Dini utakuwa sio Timamu labda kaama unatafuta ukweli ambao tayari unao unaenda kuconfirm ulichoamini tu na ni upuuuzi kusoma hiki kitabu

Narudia Tena ROBERT C DAVIS sio Reference ya historia...(Nikipata mwanafunzi kaandika Refference ya Robert c Davis Nadhani hiyo ndo itakuwa zero yake na sup)

Maana ndo alisababisha Kutokea kwa Makundi ya ugaidi Ya kikristo Bado hnatka niamini aanaweza kuandika kitabu cha kusema ukweli?
Ni mpuuuzi tu anaweza kuamini hivyo
 
Asilimia tisini 90% ya waarabu ni waislamu na pia tamaduni za uislamu zimekopi tamaduni za kiarabu mpaka lugha.Ndio maana watu wanazifananisha na ni kweli zimefanana.
SWALI LA JAMAA NI KUHUSU WAISLAMU WAARABU NA UTUMWA NA NIMEMJIBU VIZURI SANA HAPO JUU.
Umejibu kutumia Reference dhaifu sana
 
We mzee, wale wanyamwezi waliopelekwa Zanzibar kulima karafuu , walipelekwa na nyani [emoji23][emoji23][emoji28]
 
Umesoma Shule gani?unamjua Sultan Said kutoka Oman kuja zanzibar? Ukishafaham habari zake Njoo Ufute hii takataka yako?
 
Umejibu kutumia Reference dhaifu sana
Hakuna reffernce mkuu,,bali nimekaa na kusafiri nchi za kiarabu kufanya research na kusoma kozi fupi fupi.
Asilimia tisini na saba ya waarabu ni waislamu.
Nchi pekee zenye wakrsto ambao hawazidi asilimia 10% ni Egypt na Lebanon.
NA HUWEZI KUUTENGANISHA UISLAMU NA UARABU AMBAKO NDIKO CHIMBUKO LAKE.
 
Wakati wa biashara ya utumwa hadi vita vya kwanza vya dunia hakukuwa na taifa la Kiislamu.
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
We unavuta bangi. Kwanza una umri gani?
 
Watu wa kwanza kuendesha biashara ya utumwa hasa pwani ya Africa Mashariki walikuwa Waislam toka Uarabuni. Hata mtume Mohamed yeye binafsi alimiliki watumwa na alipigana vita vingi na hivyo kuuwa binadamu wenzie. Sijawai sikia ktk kueneza ukiristo mtu yoyote akiwemo Yesu mwenyewe aliyewai kunyanyua upanga kumudhuru binadamu Mwenzie. Waislam wanauwezo wa kuvaa mabomu na kujilipua ili wafe na wengi.

Sijajua una lengo gani kuleta huu uzi, lakini kwasababu umeamua ngoja nikuambie machache. Angalia maisha ya watu wasiokuwa Waislam ktk nchi za kiislam. Wanaishi kwa kubaguliwa. Au nenda kama mtumishi wa ndani ktk nchi za kiislam hasa Uarabuni alafu urudi utuambie kitakachokupata. Vikundi vyote vya kigaidi duniani viko ktk nchi za kiislam. Mengine ngoja niyanyamazie.
 
Mwehu wewe.
 
Kusoma sio kila mwafrika anaweza. Ila kusimuliana sasa..hata uongo unaaminishwa kuwa ukweli.

Nafikiri ndio maana tuko duni na nyuma sana. Tulishindwa kutengeneza sarufi zetu. Hizi tunazotumia tunaenda kukariri shuleni halafu tunajiita wasomi

Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.

Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .

Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.

Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.

Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.

Ngoja nisome comments za wagalatia wanaowachukia waarabu na kuupiga vita uislamu, waliokaririshwa na kumezeshwa chuki masikini ya mungu, nawapa pole watu hawa
 
Lakin ulisikia wakina sayid said, waliuza watumwa kutoka pwani ya africa mashariki ??? Au hadi hlo utakuwa hujackia?
Wewe hapo umesikia wapi hilo? Ni huko ma Kanisani, mashuleni wamewakaririsha huu upumbavu, na watoto na wajukuu mnaendelea kuwakaririsha na wao!!!
 
Huyo bushir alikuwa mkristo? Mashamba ya karafuu Zenj, yaliyokuwa yanamirikiwa na waarab, vibarua walikuwa wa Japan? Mzungu alipereka watumwa, ulaya, mwarab(islam) alitumia watumwa Zenj, na Ukanda wa bahari ya, Hindi,
Basda ya mapinduzi, ya viwanda ulaya, watumwa hawakuhitajika tena, ulaya, Ila Zenj ya kiislam biashara iliendelea? Kenge tumia akili bro! Omba hata kitabu cha Historia cha dalasa la tano, facts zipo documented vzr tu.

Narudia tena, hicho kitabu unachodai wewe kinaeleza propaganda kwa waarabu, ni nani amekitunga!! Kama sio kafiri mkubwa huyo je ni nani? Nawapa pole sana enyi mliopotea
 
Back
Top Bottom