Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Sasa huo mda mkuu ni mdogo sana maana jamii za waarabu wa bedouin na jamii za waafrika wa kale na jamii za waabeshi na jamii za wanubi na jamii za waputi wa libya na waamori wa morroco na Algeria zimeanza kukaa na kufanya biashara katika ukanda wa jangwa la sahara kabla ya ukristo na uislamu duniani.
Nazungumzia historia ya miaka 3000 iliyopita na ushahidi upo wazi wa masalia ya miji yao ukanda wote huo wa jangwa la Sahara.
Mara ya kwanza ulisema Miaka 9000? Au sio wewe ?
 
Umejibu kwa ulichokariri sio ufasaha Nimefanya tafiti nyingi sana na Tafiti yangu mojawapo ya Master ilikuwa ni Utumwa wa E.A na athari zake kwahyo nilihoji watu wa Zamani pamoja na kuchunguza Baadhi ya vyanzo ikiwemo museum utumwa huko Ulaya na Nachokuambia Hiyo unayotaja imechangia asilimia ndogo sana sema imekuwa exagerated kwa ajili ya kuukandamiza uislamu ...
Na hiyo ndo njia hasa walifanikiwa wazungu kuingiza ukristo kwa kuwaambia Waislamu ndo wamewaketea Utumwa 🤣
Mkuu kama wakazi wenyewe wa ukanda wa jangwa la sahara kuanzia Timbuktu mpaka Cairo walionisaidia research yangu ya Biashara ndani ya jangwa la Sahara wamenipoteza basi upo sahii.
 
Mkuu mimi nilifanya reasearch east Africa na nilifanya maeneo hayo kwa udogo sana kwa ajili ya kuangalia njia za watumwa tu..
Na nilifanya mpaka walipopelekwa....
Hiyo miaka 9000 unayosema Inatia mashaka?
Japo nakubaliana na wew kwamba inaweza inaweza biashara ikawa zaidi ya miaka 3000 ilopita
 
Mara ya kwanza ulisema Miaka 9000? Au sio wewe ?
Nimekupa kadirio tu kutokana na vipimo vya mabaki ya kale kama nyungo na mifupa na ujenzi wa makaburi.
Nikikurudisha miaka 9000 nitakuchanganya sababu wewe sio mtaalamu na mtafiti wa binadamu wa kale na historia ya mwanadamu.
NB :MABAKI YA KALE KATIKA MIJI YA KALE YA JANGWA LA SAHARA.
 
Nimekupa kadirio tu kutokana na vipimo vya mabaki ya kale kama nyungo na mifupa na ujenzi wa makaburi.
Nikikurudisha miaka 9000 nitakuchanganya sababu wewe sio mtaalamu na mtafiti wa binadamu wa kale na historia ya mwanadamu
Mkuu utakuwa hauko Serious 😅
Nimesoma History na nimbobezi wa history ya Utumwa wa Africa mashariki...
Unasema utanichanganya kuhusu ZAMADAMU...

Turudi kwenye hoja na mada..
Nioe vithibitisho ukitoa biashara vilivyokuashiria kwenye Research yako kuwa waislamu nd walifanya biashara hiyi
 
Mkuu mimi nilifanya reasearch east Africa na nilifanya maeneo hayo kwa udogo sana kwa ajili ya kuangalia njia za watumwa tu..
Na nilifanya mpaka walipopelekwa....
Hiyo miaka 9000 unayosema Inatia mashaka?
Japo nakubaliana na wew kwamba inaweza inaweza biashara ikawa zaidi ya miaka 3000 ilopita
Rudi nyuma kabisa baada ya ujio wa wakoloni wa kiarabu kutokea Uajemi ,waliofikia pale Kilwa,ndio utajua kiini cha biashara ya utumwa afrika mashariki.
Kabla ya waarabu wa oman na yemeni na wareno wa ulaya kufika katika ukanda huu.
NB: LENGO NI KUELIMISHANA NA KUMJIBU NA ALIYEULIZA KUHUSU UISLAMU NA BIASHARA YA UTUMWA.
 
Mkuu utakuwa hauko Serious 😅
Nimesoma History na nimbobezi wa history ya Utumwa wa Africa mashariki...
Unasema utanichanganya kuhusu ZAMADAMU...

Turudi kwenye hoja na mada..
Nioe vithibitisho ukitoa biashara vilivyokuashiria kwenye Research yako kuwa waislamu nd walifanya biashara hiyi
Mkuu usitoke nje ya mada,,jamaa aliuliza kama waislamu na watu wa jamii zake walifanya biashara ya utumwa na nikampatia kitabu cha mwanazuoni wa kiarabu Profesa CHOUKI EL HAMEL asome.
NB: NA KUHUSU BIASHARA YA UTUMWA HAPO AFRIKA MASHARIKI NIMEKUJIBU VIZURI,EBU TAZAMA MICHANGO YANGU HUKO JUU
Screenshot_20231026-125958.png
 
Umejibu kwa ulichokariri sio ufasaha Nimefanya tafiti nyingi sana na Tafiti yangu mojawapo ya Master ilikuwa ni Utumwa wa E.A na athari zake kwahyo nilihoji watu wa Zamani pamoja na kuchunguza Baadhi ya vyanzo ikiwemo museum utumwa huko Ulaya na Nachokuambia Hiyo unayotaja imechangia asilimia ndogo sana sema imekuwa exagerated kwa ajili ya kuukandamiza uislamu ...
Na hiyo ndo njia hasa walifanikiwa wazungu kuingiza ukristo kwa kuwaambia Waislamu ndo wamewaketea Utumwa 🤣
Mfano mdogo tu kuhusu uislamu na waislamu na utumwa ni huu.Utawala wa zanzbar walikua waarabu wa Oman na masalia yao ya machotara na waswahili wa pwani walikua dini gani na je misafara yote ya waarabu kuanzia unyanyembe na ujiji na umanyema haipo wazi?
Na kilichokua kinafanyika kilikua hakijulikani?
NB: UKWELI NI KAMA NGUO UNAONEKANA TU NA HISTORIA WAGA HAIFUTIKI.
 
Rudi nyuma kabisa baada ya ujio wa wakoloni wa kiarabu kutokea Uajemi ,waliofikia pale Kilwa,ndio utajua kiini cha biashara ya utumwa afrika mashariki.
Kabla ya waarabu wa oman na yemeni na wareno wa ulaya kufika katika ukanda huu.
NB: LENGO NI KUELIMISHANA NA KUMJIBU NA ALIYEULIZA KUHUSU UISLAMU NA BIASHARA YA UTUMWA.
Kwanza kabisa mwarabu hakuwahi kuwa koloni la mtu yoyote Ila aliwahi kuweka utawala wa Khalifa (Caliphate)..
Waarabu wenye uislamu halisi walifika kwenye karne ya 7 mpaka 10 kabla Waarabu wapenda utawa hawajaaanza kuvamia kuja kwa ajili ya kufanya biashara..

Baadae walikuja Waarabu kutoka Oman na yemeni waliingia na kuanza kufanya biashara hiyo kwenye karne ya 12..

sasa unajua lengo lao..
lengo la waarabu kutoka oman na yemen ntaelezea

tuendelee kwanza

Biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki ilianza kama biashara ya ndani, ambapo watumwa walitumika kama wafanyakazi wa ndani na watumwa wa kivita. katika karne ya 12, biashara ya utumwa ilianza kuenea zaidi...

umegusa kilwa sawa ngoja Nigusie pia

Kilwa Kisiwani

Mji wa Kilwa Kisiwani, ambao ulikuwa mojawapo ya miji mikuu ya biashara ya Kiarabu katika Afrika Mashariki, sasa hapa ndo kulikuwa na Biashara au centee ya watumwa walioanzisha hawa wa iran... au waarabu waliokuja kwenye karne ya 12

Waarabu wa Oman na Yemen

Katika karne ya 16, kwakuwa Waarabu waki iran walifika kwanza Tanganyika na EA ilikuwa vigumu kwa Wazungu kuja na kuwaondolea Mindset ya kuwatawala waafrika kwa Kuwa Tayari Walikuwa na mindset walizowekewa na waislamu sasa hapa ndo wazungu wakabuni Mbinu ambayo ni kutafuta watu Omani na Yemen ambao wanaaminika kuwapachika na kuwa ahidi utawala dhidi ya waafrika ili tu waje huku Afrika ya mashariki

walianza kuchukua udhibiti wa biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki. Wafalme wa Omani walianzisha himaya iliyoenea katika eneo hilo, na walitumia utumwa kama njia ya kuendeleza uchumi wao. na lengo lao lilikuwa utangulizi wa Wazungu na kama utaona kwamba empire nyingi za kiarabu hazikuanguka hata baada ta kubadilisha utawala kutoka kwa mjerumani kwenda kwa mzungu

Sasa kwa kuconclude wazungu waliamua kufanya hivyo kuwatumia waarabu kwa ajili ya uwepesi wa kuingia EA na hapo ndo ilipoonekana kwamba waarabu walifanya biashara ya utumwa...

sasa ukitka zaidi soma vitabu vifuatavyo...
  • The Slave Coast: A History of the Indian Ocean Slave Trade, 1500-1850 na John Thornton (1998)
  • The Atlantic Slave Trade from West Central Africa, 1780–1868 cha John thornton
  • Slaves, Spices, and Ivory: The East African Coast in the Indian Ocean World, 700-1700 na Richard Pankhurst (2001)
  • The Swahili: Reconstructing the History and Culture of an African Society, 800-1500 na J. de V. Allen (1993)
  • The East African Slave Trade: A History na Edward Alpers (2009)
  • The Zanzibar Slave Trade and Its Aftermath na Abdul Sheriff (1987)
 
Mfano mdogo tu kuhusu uislamu na waislamu na utumwa ni huu.Utawala wa zanzbar walikua waarabu wa Oman na masalia yao ya machotara na waswahili wa pwani walikua dini gani na je misafara yote ya waarabu kuanzia unyanyembe na ujiji na umanyema haipo wazi?
Na kilichokua kinafanyika kilikua hakijulikani?
NB: UKWELI NI KAMA NGUO UNAONEKANA TU NA HISTORIA WAGA HAIFUTIKI.
Mkuu Nimeuliza swali dogo Sana kwanini kwa Waarabu Hakuna waafrika kama waliuzwa kwao
 
Sasa kwani me nimeongelea Vita ya dunia kwenye bandiko langu lolote acha upungua Bwana mdogo soma vizuri au una utelezi kwenye macho
Vita ya dunia amezungumzia huyo idiot mwenzako.... Ndio maana nilitaka niwakumbushe wote wa 2
 
Waliuza watumwa wakiwauzia wapi na waliwapeleka wapi mbona hutujawahi kusikia Mwarabu mweusi huko uarabuni Tumia akili kutafakari
Walikuwa wanawahasi (kung'oa pumb.u) ili wasizaliane huko. Baada ya kuwahasi watumwa wa kiume wakawatumikisha kwa kazi ngumu na usenge.
Watumwa wakike wakawa wanapewa dawa za kufunga uzazi.
 
Vipi kuhusu Wanawake na wenyewe walikuwa wanawang'oa mfuko wa uzazi
 
Biashara ya Utumwa na kanisa

marehemu Malcomx alisema kuwa kiasi cha milioni 100 ya Waafrika walitiwa utumwani na kufikishwa Amerika wakiwa hai. Haijulikani idadi ya waliofia safarini.

John Hawkins alifanya safari tatu Afrika Magharibi katika miaka ya 1560, na kuchukua Waafrika ambao waliwauza kwa Wahispania Marekani. Aliporudi Uingereza baada ya safari kwanza, kwa sababu ya faida kubwa aliyopata, malkia Elizabeth wa kwanza alitamani kushiriki katika safari ya pili; na alitoa meli iitwayo Jesus (Yesu) kwa safari hiyo. Hawkins aliondoka na Jesus (meli) kuchukua watumwa Waafrika zaidi na aliporudi Uingereza alipata faida kiasi kwamba, Malkia Elizabeth alimpa nishani. Hawkins aliamua kuwa nembo ya cheo chake kuwa alama ya Mwafrika aliyefungwa minyororo.(1)

Maaskofu na wachungaji wa kanisa wa ngazi za chini, walikuwa na watumwa wao waliofanya kazi mashambani, kuwabeba machela mabwana zao, wachungaji walipelekwa huko na huko katika safari zao. (2)

Hayo yalifanyika sehemu nyingi za Afrika na kwingineko makanisa yalikokuwa yakijengwa enzi hizoza biashara ya utumwa. Na wale watumwa waliokamatwa Marekani walibatizwa kwa mpigo wakati wakipakiwa melini. Askofu alijengewa kiti maalum gatini kwa ajili ya kazi hiyo.(3)
Inawezekana mengi kati ya hayo uliyosema ni sahihi lkn haiondoi ukweli wa kile nilichodokeza hapa.

Yaani;
1. Kitovu cha biashara ya utumwa kwa ukanda Afrika Mashariki yote kilikuwa ni Zanzibar tena chini ya Masultani.

2. Waliohusika na biashara ya ulanguzi wa watumwa ndani ya Africa(in the interior of Africa) walikuwa ni Waarabu. Mfano wao Kina Tip tip. Wazungu walikuwa ni wanunuzi wa jumla.

Bad enough ni wazungu hao hao baadaye wakaamzisha movements za abolition of slave trade.
 
😅😅 KwHyo hii ndo swali lako la kipuuuzi la darasa la pili inaoonekana wengi bado mnasoma hekaya za Bunuwasi mlizolishwa matango pori. tangu zaman
Toa kitabu chako ambacho kinaonesha waislamu (waarabu) hawakufanya biashara ya utumwa.
Umezaliwa juzi tu halafu unajifanya unaujua uislamu na waarabu wenyewe wakati umeukuta.
Kuna historical sites nyingi sana zinaonesha biashara ya watumwa ilivyofanywa na waarabu (waislamu).
Hii dini unayoona kwako ni nzuri sana ilikuja na biashara ya utumwa na pembe za ndovu.
Kuna vitabu vingi vimeeleza lakini wewe unabisha. Andika chako
Unajua kuwa waislamu wa kiafrika bado ni watumwa wa waislamu wa kiarabu? Mwaarabu muislamu hawezi kukufanyia jambo la maendelo kwsabb wewe ni mtumwa wake ndiyo maana atakujengea msikiti, kisima cha kujitawazia, kukupa maji ya zamzam na Quran.
Mtumwa haistahili maisha mazuri ndiyo maana kipindi kile cha waarabu (waislamu) hawakujenga shule, vyuo vya ufundi wala hospitali kwasababu wewe ni mtumwa wake
 
Inawezekana mengi kati ya hayo uliyosema ni sahihi lkn haiondoi ukweli wa kile nilichodokeza hapa.

Yaani;
1. Kitovu cha biashara ya utumwa kwa ukanda Afrika Mashariki yote kilikuwa ni Zanzibar tena chini ya Masultani.

2. Waliohusika na biashara ya ulanguzi wa watumwa ndani ya Africa(in the interior of Africa) walikuwa ni Waarabu. Mfano wao Kina Tip tip. Wazungu walikuwa ni wanunuzi wa jumla.

Bad enough ni wazungu hao hao baadaye wakaamzisha movements za abolition of slave trade.
Na wakifanya ktk kanisa la mkunazini
 
Kwanza kabisa mwarabu hakuwahi kuwa koloni la mtu yoyote Ila aliwahi kuweka utawala wa Khalifa (Caliphate)..
Waarabu wenye uislamu halisi walifika kwenye karne ya 7 mpaka 10 kabla Waarabu wapenda utawa hawajaaanza kuvamia kuja kwa ajili ya kufanya biashara..

Baadae walikuja Waarabu kutoka Oman na yemeni waliingia na kuanza kufanya biashara hiyo kwenye karne ya 12..

sasa unajua lengo lao..
lengo la waarabu kutoka oman na yemen ntaelezea

tuendelee kwanza

Biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki ilianza kama biashara ya ndani, ambapo watumwa walitumika kama wafanyakazi wa ndani na watumwa wa kivita. katika karne ya 12, biashara ya utumwa ilianza kuenea zaidi...

umegusa kilwa sawa ngoja Nigusie pia

Kilwa Kisiwani

Mji wa Kilwa Kisiwani, ambao ulikuwa mojawapo ya miji mikuu ya biashara ya Kiarabu katika Afrika Mashariki, sasa hapa ndo kulikuwa na Biashara au centee ya watumwa walioanzisha hawa wa iran... au waarabu waliokuja kwenye karne ya 12

Waarabu wa Oman na Yemen

Katika karne ya 16, kwakuwa Waarabu waki iran walifika kwanza Tanganyika na EA ilikuwa vigumu kwa Wazungu kuja na kuwaondolea Mindset ya kuwatawala waafrika kwa Kuwa Tayari Walikuwa na mindset walizowekewa na waislamu sasa hapa ndo wazungu wakabuni Mbinu ambayo ni kutafuta watu Omani na Yemen ambao wanaaminika kuwapachika na kuwa ahidi utawala dhidi ya waafrika ili tu waje huku Afrika ya mashariki

walianza kuchukua udhibiti wa biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki. Wafalme wa Omani walianzisha himaya iliyoenea katika eneo hilo, na walitumia utumwa kama njia ya kuendeleza uchumi wao. na lengo lao lilikuwa utangulizi wa Wazungu na kama utaona kwamba empire nyingi za kiarabu hazikuanguka hata baada ta kubadilisha utawala kutoka kwa mjerumani kwenda kwa mzungu

Sasa kwa kuconclude wazungu waliamua kufanya hivyo kuwatumia waarabu kwa ajili ya uwepesi wa kuingia EA na hapo ndo ilipoonekana kwamba waarabu walifanya biashara ya utumwa...

sasa ukitka zaidi soma vitabu vifuatavyo...
  • The Slave Coast: A History of the Indian Ocean Slave Trade, 1500-1850 na John Thornton (1998)
  • The Atlantic Slave Trade from West Central Africa, 1780–1868 cha John thornton
  • Slaves, Spices, and Ivory: The East African Coast in the Indian Ocean World, 700-1700 na Richard Pankhurst (2001)
  • The Swahili: Reconstructing the History and Culture of an African Society, 800-1500 na J. de V. Allen (1993)
  • The East African Slave Trade: A History na Edward Alpers (2009)
  • The Zanzibar Slave Trade and Its Aftermath na Abdul Sheriff (1987)
Mkuu tatizo unachanganya imani yako ya kiislamu na jamii za kiutawala au falme za watu wenye asili za kiarabu enzi hizo.
NB: Unajua ukoo wa Marzui walifanya makoloni mengi hapa pwani ya afrika mashariki kabla ya Seyid Said??
Unajua waarabu na waamor wa morocco walifanya makoloni zaidi ya miaka 400 kusini mwa uhispania.
WARAABU NAO NI BINADAMU KAMA BINADAMU WENGINE NA WANA UTASHI WA KUTAWALA NA KUTUMIA WATUMWA TOKA ENZI HIZO NA DINI ISIKUCHANGANYE.
Ni kama wahispaniola na wareno walikua wananunua watumwa na kutumikisha watu afu waje hapa wakrsto kuukataa huo ukweli.
NB: EBU MTAFUTE MWANAZUONI WA KIARABU NA ANAYEJUA HISTORIA YA WAARABU KUANZIA UKOO WA MAHID SUDAN MPAKA KULE BANDAR ABBAS UAJEMI AKUSAIDIE KUIJUA HISTORIA YA BINADAMU WANAOITWA WAARABU.
NB: Tusitoke nje ya mada aliyouliza jamaa kuhusu ushahidi kama waarabu na waislamu walishiriki biashara ya utumwa???
Na nimemjibu vizuri kupitia historia ya watu wa jamii hizo.
 
Na wakifanya ktk kanisa la mkunazini
Mkuu utumwa katika bara la afrika mashariki haukuanzia kanisa la mkunazini.
Ebu rudi nyuma mpaka e miaka ya makoloni ya kiarabu hapa pwani ya watu wa ukoo wa Marzui na uangalie walikua wanafanya nini ,,,kabla hata ya ujio wa Seyid Said.
 
Back
Top Bottom