Kwanza kabisa mwarabu hakuwahi kuwa koloni la mtu yoyote Ila aliwahi kuweka utawala wa Khalifa (Caliphate)..
Waarabu wenye uislamu halisi walifika kwenye karne ya 7 mpaka 10 kabla Waarabu wapenda utawa hawajaaanza kuvamia kuja kwa ajili ya kufanya biashara..
Baadae walikuja Waarabu kutoka Oman na yemeni waliingia na kuanza kufanya biashara hiyo kwenye karne ya 12..
sasa unajua lengo lao..
lengo la waarabu kutoka oman na yemen ntaelezea
tuendelee kwanza
Biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki ilianza kama biashara ya ndani, ambapo watumwa walitumika kama wafanyakazi wa ndani na watumwa wa kivita. katika karne ya 12, biashara ya utumwa ilianza kuenea zaidi...
umegusa kilwa sawa ngoja Nigusie pia
Kilwa Kisiwani
Mji wa Kilwa Kisiwani, ambao ulikuwa mojawapo ya miji mikuu ya biashara ya Kiarabu katika Afrika Mashariki, sasa hapa ndo kulikuwa na Biashara au centee ya watumwa walioanzisha hawa wa iran... au waarabu waliokuja kwenye karne ya 12
Waarabu wa Oman na Yemen
Katika karne ya 16, kwakuwa Waarabu waki iran walifika kwanza Tanganyika na EA ilikuwa vigumu kwa Wazungu kuja na kuwaondolea Mindset ya kuwatawala waafrika kwa Kuwa Tayari Walikuwa na mindset walizowekewa na waislamu sasa hapa ndo wazungu wakabuni Mbinu ambayo ni kutafuta watu Omani na Yemen ambao wanaaminika kuwapachika na kuwa ahidi utawala dhidi ya waafrika ili tu waje huku Afrika ya mashariki
walianza kuchukua udhibiti wa biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki. Wafalme wa Omani walianzisha himaya iliyoenea katika eneo hilo, na walitumia utumwa kama njia ya kuendeleza uchumi wao. na lengo lao lilikuwa utangulizi wa Wazungu na kama utaona kwamba empire nyingi za kiarabu hazikuanguka hata baada ta kubadilisha utawala kutoka kwa mjerumani kwenda kwa mzungu
Sasa kwa kuconclude wazungu waliamua kufanya hivyo kuwatumia waarabu kwa ajili ya uwepesi wa kuingia EA na hapo ndo ilipoonekana kwamba waarabu walifanya biashara ya utumwa...
sasa ukitka zaidi soma vitabu vifuatavyo...
- The Slave Coast: A History of the Indian Ocean Slave Trade, 1500-1850 na John Thornton (1998)
- The Atlantic Slave Trade from West Central Africa, 1780–1868 cha John thornton
- Slaves, Spices, and Ivory: The East African Coast in the Indian Ocean World, 700-1700 na Richard Pankhurst (2001)
- The Swahili: Reconstructing the History and Culture of an African Society, 800-1500 na J. de V. Allen (1993)
- The East African Slave Trade: A History na Edward Alpers (2009)
- The Zanzibar Slave Trade and Its Aftermath na Abdul Sheriff (1987)