Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwachukua watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri.
Kanisa duniani limeomba msamaha kushiriki biashara ya utumwa.
Ha hiyo brioche tofauti Ukristo na imani nyingine, wanapokosea wanaomba msamaha wanarekebisha.
 
Ebu soma hiki kitabu cha binti wa Seyyid Said na uone jinsi gani baba yake alikua bingwa wa kununua na kuuza watumwa wa kibantu kwenye himaya zakeView attachment 2793636

Kitabu ambacho kumeandikwa NEWYORKK Unafikir kitatetea au kitasema ukweli kuhusu mwarabu 🤣🤣🤣🤣
Mbona hawakusimulieni kuhush Mapinduzi ya Zanzibar walivyoua waarabu wote bila tatizo wakikodi watu kutoka uganda
 
Sasa kama watumwa wengi waliishiia uarabuni kwanini hujiulizi kwanini hakuna weusi wengi uarabuni Tumia akili kujua kuhusu uongo uliodangywa shuleni kukupandikiza chuki..
SWALI ZURI NA LINAJIBIWA VIZURI KATIKA KITABU HIKI CHA BINTI WA SEYID SAID.
NB: MTINDO WA KUHASI WATUMWA WA KIUME ULIOKUA UNAFANYWA NA WAARABU ULIKUA WA DHANA IPI.
NA HAKUNA CHUKI ILA UKWELI USIKWEPE MAANA KAULIZA UISLAMU NA UTUMWA NA KAJIBIWA
Screenshot_20231026-135029.png
 
90% ya warabu ni waislam sa sjui unawatoaje,

Ottoman empire ilikua ni dola ya kiislam na ilitawala sehemu ya ulaya, middle east na part
of africa na walipigana vita ya kwanza ya dunia

Na kuna dini yenyewe ya islam ambayo ad leo hii bado inaendeleza utumwa wa fikla na akili

Bi Aisha mke wa mohamad alikua tajir na alimiliki watumwa

Inawezekana uislam na mataifa ya kiislam hayakushiriki vita vya dunia lakin tambua uislam ndo dini pekee iloenezwa kwa vita ata mohamad mwenyewe akuwa tu mtume lakin pia alkia kiongozi kamanda wa vtu na alishiriki vita na kuua watu wa kutumia jina la uislam
 
Kamsome Tip Tip, abushir, hili ndilo lilikuwa jangili la kukamata watumwa kutoka Bara na kuwapereka Zenj,
Historia ya dalasa la tano,kasome vzr
Halafu mkuu abushiri alikuwa Chini ya Mkoloni wa kijerumanu au mwingereza kama sikosei
 
Kitabu ambacho kumeandikwa NEWYORKK Unafikir kitatetea au kitasema ukweli kuhusu mwarabu 🤣🤣🤣🤣
Mbona hawakusimulieni kuhush Mapinduzi ya Zanzibar walivyoua waarabu wote bila tatizo wakikodi watu kutoka uganda
ALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.
KISOME KWANZA NA UONE MAISHA YA BINTI WA SEYID SAID ZANZBAR KABLA HAJAKIMBIA KUMKWEPA KAKA YAKE SEYID BARGASH SABABU ALIOLEWA NA MZUNGU WA KIJERUMANI.
 
SWALI ZURI NA LINAJIBIWA VIZURI KATIKA KITABU HIKI CHA BINTI WA SEYID SAID.
NB: MTINDO WA KUHASI WATUMWA WA KIUME ULIOKUA UNAFANYWA NA WAARABU ULIKUA WA DHANA IPI.
NA HAKUNA CHUKI ILA UKWELI USIKWEPE MAANA KAULIZA UISLAMU NA UTUMWA NA KAJIBIWAView attachment 2793652

Siwezi kutafuta ASALI KWA NZI hata kama nikiipata!
Kutafuta historia ya Nzuri ya Waarabu kwenye Mikono ya Adui zake si Rahisi kuipata..
Kuna MSEMO UNASEMA USIMWAMINI MUONGO HATA KAMA AKISEMA UKWELI
 
ALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.
KISOME KWANZA NA UONE MAISHA YA BINTI WA SEYID SAID ZANZBAR KABLA HAJAKIMBIA KUMKWEPA KAKA YAKE SEYID BARGASH SABABU ALIOLEWA NA MZUNGU WA KIJERUMANI.
Sasa wwe ndo ujiulize kipindi hicho Ujerumenu ndo ilikuwa imeshika Tawlaa na ZANZIBAR PAMOJA NA TANGANYIKA ILIKUWA CHINI YA UJERUMANI JAPI ZANZIBAR ILIKUWA NI JIMBO LA UJERUMANI LIKIWA NA SULTANITE ADMINISTRATION
 
90% ya warabu ni waislam sa sjui unawatoaje,

Ottoman empire ilikua ni dola ya kiislam na ilitawala sehemu ya ulaya, middle east na part
of africa na walipigana vita ya kwanza ya dunia

Na kuna dini yenyewe ya islam ambayo ad leo hii bado inaendeleza utumwa wa fikla na akili

Bi Aisha mke wa mohamad alikua tajir na alimiliki watumwa

Inawezekana uislam na mataifa ya kiislam hayakushiriki vita vya dunia lakin tambua uislam ndo dini pekee iloenezwa kwa vita ata mohamad mwenyewe akuwa tu mtume lakin pia alkia kiongozi kamanda wa vtu na alishiriki vita na kuua watu wa kutumia jina la uislam
So Bi Aisha tu biblia yako yote inaonyesha jinsi watumwa walivyomilikiwa hakuna mtume ambaye alikuwa hana watumwa....
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Uturuki alipigana na alikuwa mshirika wa Hitler
 
ALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.
KISOME KWANZA NA UONE MAISHA YA BINTI WA SEYID SAID ZANZBAR KABLA HAJAKIMBIA KUMKWEPA KAKA YAKE SEYID BARGASH SABABU ALIOLEWA NA MZUNGU WA KIJERUMANI.
Sasa nataka nikupe Tips zishike hizi huenda huzijui...

Waarabu walifika katika pwani ya Afrika ya Mashariki, karne kabla ya Wazungu. walifika kuanzia kwenye karne ya 7 na 9.
kwenye Ukhalifa wa Ibn umayya

na baadae katika karne ya 9 wakaongezeka kwenye ukhalifa wa ibn abasi..

Waarabu walikuja kwa biashara, hasa ya bidhaa kama vile dhahabu, pembe za ndovu, na kueneza dini ya Kiislamu, ambayo ilienea haraka katika maeneo ya pwani,Kwenye hizo karne ya 7 na ya 9 miaka ya 750 na kuendelea...

Wazungu walikuja Afrika ya Mashariki katika karne ya 16. Wahispania walianzisha koloni lao la kwanza katika eneo hilo mnamo 1505, huko Mozambique.
wazungu wengine, kama vile Wareno, Waingereza, na Wajerumani, walifuata. Wazungu walikuja kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na biashara, ukoloni, na dini ...
Kwa Tanganyika wazungu walifika karne ya 19. Wajerumani walianzisha koloni lao la kwanza huko Tanganyika mnamo 1884. Waingereza walianzisha koloni lao la kwanza huko Kenya mnamo 1895.

sasa.Nakuibia siri usiwaambie wenzako kuwa kipindi cha Wazungu kufika Pwani ya Afrika masharika karne ya 16 mpaka 19 ndo karne ambazo Biashara ya utumwa ilienea kwa kazi saaana...
ambayo mwanzo haikuwa hivyo...

SASA KAMA UNA AKILI UTAFNYA ANALYSIS MWENYEWE
 
Waliuza watumwa wakiwauzia wapi na waliwapeleka wapi mbona hutujawahi kusikia Mwarabu mweusi huko uarabuni Tumia akili kutafakari
Ushawahi kusoma sahar trade ???
Then walikuwa wanapeleka kwenye mashamba mkonge zanzabar na pwani...

Hv nyinyi shule mmesoma kweli, au mnadanganywa wa idiots wenzenu mnapokaa kwenye kahawa.... Nendeni shule mpate slimu
 
Arabic countries zilikuwa Maskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we itakuwa ulifeli aisew [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipind hicho kuna expansion ya Islamic empire kina mansa musa Mtajiri zaidi ya suleymani
Mansa musa hakuwa mwarabu... Ila alikuwa muislam, na yeye alikuwa anachukua dhahabu na watumwa kuuza dhahabu zake ulaya...

Mpka hapo umeona biashara ya utumwa ilivyo.. Then tunasema giants countries

Vile vile vita vya dunia vilianza mansa musa kashafariki siku nyingi... Uwe unasoma historia kabla ya kuongea pumba zako
 
Halafu mkuu abushiri alikuwa Chini ya Mkoloni wa kijerumanu au mwingereza kama sikosei
Abushiri bin Salim ni chotara wa kiarabu aliyekua na biashara zake pale pangani za kuuza watumwa na pembe za ndovu na pangani ilikua chini ya Seyid Bargash aliyerithi kutoka kwa Seyid Majid ambae alikua chotara wa kizungu na mtoto mkubwa wa Seyid Said na mama yake alikua mzungu wa jamii ya Caucasian kama kijakazi wa Seyid Said.
Abushiri bin Salim alikua mfanyabiashara aliyeona Wajerumani wanamuingila maslahi yake ndio akawashawishi waswahili wa pwani wawaasi wajerumani ambao walikua wakatili kweli kweli na kumbuka Von Zelewsky akiingis msikitini na mbwa na viatuna kuwachapa bakora waswahili waliokataa kulipa kodi
NB:SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA BINTI WA SEYID SAID
 
Ushawahi kusoma sahar trade ???
Then walikuwa wanapeleka kwenye mashamba mkonge zanzabar na pwani...

Hv nyinyi shule mmesoma kweli, au mnadanganywa wa idiots wenzenu mnapokaa kwenye kahawa.... Nendeni shule mpate slimu
Unaniletea Historia ambayo hata ukienda kwao kwa wazungu haipo How stupid you are?
Kuingiziwa Historia ambayo hata kwenye museum zao tu haipo ina maana wamekuona wwwe ni mjinga unazungumzia trans sahara ya juzi 1800s me nimekuandikia Kwamba warabu wameanza kuja Pwani ya Africa mashariki karne ya 7...
Sasa wewe si utakuwa Mjinga mmoja maana Trans saharan imeanza Kipind mzungu ameanza kuja
 
Siwezi kutafuta ASALI KWA NZI hata kama nikiipata!
Kutafuta historia ya Nzuri ya Waarabu kwenye Mikono ya Adui zake si Rahisi kuipata..
Kuna MSEMO UNASEMA USIMWAMINI MUONGO HATA KAMA AKISEMA UKWELI
Basi musome Alhaj Ibn Batuta na historia yake ya uislamu na utumwa kama una mtazamo huo.
 
Abushiri bin Salim ni chotara wa kiarabu aliyekua na biashara zake pale pangani za kuuza watumwa na pembe za ndovu na pangani ilikua chini ya Seyid Bargash aliyerithi kutoka kwa Seyid Majid ambae alikua chotara wa kizungu na mtoto mkubwa wa Seyid Said na mama yake alikua mzungu wa jamii ya Caucasian kama kijakazi wa Seyid Said.
Abushiri bin Salim alikua mfanyabiashara aliyeona Wajerumani wanamuingila maslahi yake ndio akawashawishi waswahili wa pwani wawaasi wajerumani ambao walikua wakatili kweli kweli na kumbuka Von Zelewsky akiingis msikitini na mbwa na viatuna kuwachapa bakora waswahili waliokataa kulipa kodi
NB:SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA BINTI WA SEYID SAID
Nashukur Umejijibu mwenyewe kwamba walikuwa ni wazungu..

Sasa unanimbia kuhusu watu waliotengenezwa ili wachafue
Jiulize kipindi hicho walikuwa chini Ya bifu kali kati ya Mwarabu na mzungu aliwezJe kumuoa mzungu
 
Unaniletea Historia ambayo hata ukienda kwao kwa wazungu haipo How stupid you are?
Kuingiziwa Historia ambayo hata kwenye museum zao tu haipo ina maana wamekuona wwwe ni mjinga unazungumzia trans sahara ya juzi 1800s me nimekuandikia Kwamba warabu wameanza kuja Pwani ya Africa mashariki karne ya 7...
Sasa wewe si utakuwa Mjinga mmoja maana Trans saharan imeanza Kipind mzungu ameanza kuja
Mkuu hivi unalijua hata jangwa la sahara lilipo na biashara zilizokua zinafanyika humo.
 
Back
Top Bottom