Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Mkuu unaijua biashara ya watumwa ndani ya jangwa la Sahara kuanzia miliki za Songa na Mali na Ghana na jamii za waarabu waliolowea Sudan ya leo na Maurtania ya leo na Niger na Mali kote huko kwenye masoko ya watumwa ndani ya jangwa la Sahara ambako waafrika walikua wanauzwa na kupelekwa afrika kaskazini na uarabuni kutumikishwa.
 
Hizi story ni za Sunday school
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Unamjua Tip tip??

Unajua Afrika Mashariki soko kuu la watumwa lilikuwa Zanzibar??

Hayo ni kwa uchache sana.
 
Biashara ya Utumwa na kanisa

marehemu Malcomx alisema kuwa kiasi cha milioni 100 ya Waafrika walitiwa utumwani na kufikishwa Amerika wakiwa hai. Haijulikani idadi ya waliofia safarini.

John Hawkins alifanya safari tatu Afrika Magharibi katika miaka ya 1560, na kuchukua Waafrika ambao waliwauza kwa Wahispania Marekani. Aliporudi Uingereza baada ya safari kwanza, kwa sababu ya faida kubwa aliyopata, malkia Elizabeth wa kwanza alitamani kushiriki katika safari ya pili; na alitoa meli iitwayo Jesus (Yesu) kwa safari hiyo. Hawkins aliondoka na Jesus (meli) kuchukua watumwa Waafrika zaidi na aliporudi Uingereza alipata faida kiasi kwamba, Malkia Elizabeth alimpa nishani. Hawkins aliamua kuwa nembo ya cheo chake kuwa alama ya Mwafrika aliyefungwa minyororo.(1)

Maaskofu na wachungaji wa kanisa wa ngazi za chini, walikuwa na watumwa wao waliofanya kazi mashambani, kuwabeba machela mabwana zao, wachungaji walipelekwa huko na huko katika safari zao. (2)

Hayo yalifanyika sehemu nyingi za Afrika na kwingineko makanisa yalikokuwa yakijengwa enzi hizoza biashara ya utumwa. Na wale watumwa waliokamatwa Marekani walibatizwa kwa mpigo wakati wakipakiwa melini. Askofu alijengewa kiti maalum gatini kwa ajili ya kazi hiyo.(3)
 
Wakuwahishe mirembe kwa vichaa wenzio kabla hujaanza kupiga watu mawe barabarani
Uislam na utumwa
mtumwa alilishwa vizuri sana kwa muda fulani halafu alipoonekana kuwa ana siha nzuri akatumbukizwa katika uwanja kama wa mpira lakini wenye kuta ndefu pande zote ili apambane na simba mwenye njaa kali sana. Zile kikirikakara na kuhangaika kwa mtumwa kutaka kujinusuru na kuliwa na simba ndio burudani yenyewe.

Hakika mazingira kama haya jukumu la Uislamu lilikuwa zito sana. Uislamu uliwania siyotu kuwakomboa watu kimwili bali pia kubadili mtazamo mzima wa watu kuwarejesha katika udugu na usawa wa binaadamu.
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Umevisoma hv vitabu mkuu kwa ufupi tu kujiongezea maarifa ya jamii za duniani na utumwa ndugu yangu?
Mimi naamini kabisa wewe unawakilisha elimu na upeo wa waislamu wengi wa afrika na bara Asia wanaopotoshwa na wanazuoni wa dini hiyo ambao ni waongo na wanafiki kwa kujaribu kuficha ukweli.
NB: HAKUNA UGONJWA MBAYA KAMA UNAFIKI WA KUPOTOSHA UKWELI NA NI MATOKEO YA KUKOSA ELIMU NA UMASIKINI WA AKILI.
Screenshot_20231026-125958.png
Screenshot_20231026-130727.png
Screenshot_20231026-130345.png
 
Umevisoma hv vitabu mkuu kwa ufupi tu kujiongezea maarifa ya jamii za duniani na utumwa ndugu yangu?
Mimi naamini kabisa wewe unawakilisha elimu na upeo wa waislamu wengi wa afrika na bara Asia wanaopotoshwa na wanazuoni wa dini hiyo ambao ni waongo na wanafiki kwa kujaribu kuficha ukweli.
NB: HAKUNA UGONJWA MBAYA KAMA UNAFIKI WA KUPOTOSHA UKWELI NA NI MATOKEO YA KUKOSA ELIMU NA UMASIKINI WA AKILI.
View attachment 2793575View attachment 2793573View attachment 2793574
Mtunzi John anamwandika Aly. Unadhani ataandika nini
 
Umevisoma hv vitabu mkuu kwa ufupi tu kujiongezea maarifa ya jamii za duniani na utumwa ndugu yangu?
Mimi naamini kabisa wewe unawakilisha elimu na upeo wa waislamu wengi wa afrika na bara Asia wanaopotoshwa na wanazuoni wa dini hiyo ambao ni waongo na wanafiki kwa kujaribu kuficha ukweli.
NB: HAKUNA UGONJWA MBAYA KAMA UNAFIKI WA KUPOTOSHA UKWELI NA NI MATOKEO YA KUKOSA ELIMU NA UMASIKINI WA AKILI.
View attachment 2793575View attachment 2793573View attachment 2793574
Soma msamaha wa kanisa hii bishara halafu uje na ngojera zako
 
1698315555195.png
 
Uislam na utumwa
mtumwa alilishwa vizuri sana kwa muda fulani halafu alipoonekana kuwa ana siha nzuri akatumbukizwa katika uwanja kama wa mpira lakini wenye kuta ndefu pande zote ili apambane na simba mwenye njaa kali sana. Zile kikirikakara na kuhangaika kwa mtumwa kutaka kujinusuru na kuliwa na simba ndio burudani yenyewe.

Hakika mazingira kama haya jukumu la Uislamu lilikuwa zito sana. Uislamu uliwania siyotu kuwakomboa watu kimwili bali pia kubadili mtazamo mzima wa watu kuwarejesha katika udugu na usawa wa binaadamu.
Mkuu soma hivyo vitabu na orodha ya vitabu ipo hapo juu nimeviweka.
Afu waulize watumwa au vizazi vya watumwa waliokua Umanyema na Ujiji na Tabora na Kondoa na Pangani na Kilwa na Bagamoyo na Zanzbar kama walirejeshwa katika usawa wa kibinadamu na waaarabu wa Oman na vizazi vyao vya machotara vilivyokua vinawanunua na kuwauza uarabuni na India baada ya kuwahasi watumwa wa kiume.
 
Mbona hujasikia watumwa kupelekwa Maka bada yake utasikia wakisafirishwa kwenda Vatican; Germany au Ufaransa na America kufanya kazi ngumu
 
Soma msamaha wa kanisa hii bishara halafu uje na ngojera zako
Mkuu nilikua najibu swali lako la kusema waislamu na uislamu hawajawahi kushiriki biashara ya utumwa.Sijatoa ngonjera na nimekupa vitabu usome mkuu.
NB: HAKUNA ALIYEKATAA WAZUNGU WAKRISTO KUA HAJASHIRIKI BIASHARA YA UTUMWA BALI TULIKUA TUNAKUJIBU HOJA YAKO NA MASWALI YAKO KAMA WASOMI WA HISTORIA YA MWANADAMU NA KAMA UNA SWALI ULIZA UJIBIWE.
 
Mbona hujasikia watumwa kupelekwa Maka bada yake utasikia wakisafirishwa kwenda Vatican; Germany au Ufaransa na America kufanya kazi ngumu
Mkuu soma hivyo vitabu nilivyokupatia na usome biashara ya utumwa ndani ya jangwa la sahara soko lake kuu lilikua wapi?
NB: SUALA SIO KUSIKIA BALI SUALA NI MATUKIO YALIYOTOKEA KUHUSU HIYO BIASHARA YA UTUMWA.
HAPA HAKUNA UDINI ILA UNAJIBIWA MASWALI YAKO NA WASOMI NA UNAPEWA VITABU KABISA VYA WANAZUONI WA KIARABU USOME MKUU.
 
Uislam na utumwa
mtumwa alilishwa vizuri sana kwa muda fulani halafu alipoonekana kuwa ana siha nzuri
akatumbukizwa katika uwanja kama wa mpira lakini wenye kuta ndefu pande zote ili apambane na simba mwenye njaa kali sana. Zile kikirikakara na kuhangaika kwa mtumwa kutaka kujinusuru na kuliwa na simba ndio burudani yenyewe.

Hakika mazingira kama haya jukumu la Uislamu lilikuwa zito sana. Uislamu uliwania siyotu kuwakomboa watu kimwili bali pia kubadili mtazamo mzima wa watu kuwarejesha katika udugu na usawa wa binaadamu.
Kweli wewe unaumwa malaria 2. Unakataa waislamu kuwa hawakufanya biashara ya utumwa halafu hapa unakiri kuwa waislamu walifanya biashara ya utumwa.
Mwaarabu alikuwa mkatili sana kama lile kundi la Islamic State la Syria lilivyokuwa linachinja watu kama kuku. Huo ndiyo ukatili wa Waarabu kwa watumwa.
Watumwa wengi sana walichukuliwa na kupelekwa nchi za kiislamu lakini waliishia kuawawa na kuasiwa ili wasizae ndiyo maana kizazi chao hakipo kule.
Angalia Marekani utawakutana 50 Cent, Ja rule na wengine.
Nimecheka sana, watumwa wa kiislamu walikuwa wanalishwa vizuri 😀😀😀😀😀. Mtumwa alishwe vizuri wakati madada zetu wanaoenda Uarabuni hurudishwa maiti kwa ukatili wanaofanyiwa mpk serikali imepiga marufuku wadada wa kazi kwenda nchi za waislamu kufanya kazi.
Nikuambie tu ila ni chungu na hupendi kulisikia. Mpaka sasa waarabu (waislamu) wanawachukulia waafrika waislamu ni watumwa wao ndiyo maana hawezi kukufanyia jambo la maendeleo. Atakujengea msikiti, kisima cha kujitawazia, atakupa tende, kanzu na maji ya Zamu zamu. Haya ndiyo wanaona maendeleo, angalia Zanzibar ilivyo masikini.
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Soko kuu la watumwa Zanzibar lilianzishwa na wakristo siyo.

Ona aibu japo kidogo, ficha udini na ujinga wako.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom