Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Huyo kenge anajua kusoma basi[emoji23][emoji23][emoji23]Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.
Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .
Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.
Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.
Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app