Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.

Mbona unaanza kwa kupopoma kwa kujitetea kabla hujavurumishwa? Unadhani utazuia watu wasikunyuke? La hasha utagongwa tuu!
 
Toa kitabu chako ambacho kinaonesha waislamu (waarabu) hawakufanya biashara ya utumwa.
Umezaliwa juzi tu halafu unajifanya unaujua uislamu na waarabu wenyewe wakati umeukuta.
Kuna historical sites nyingi sana zinaonesha biashara ya watumwa ilivyofanywa na waarabu (waislamu).
Hii dini unayoona kwako ni nzuri sana ilikuja na biashara ya utumwa na pembe za ndovu.
Kuna vitabu vingi vimeeleza lakini wewe unabisha. Andika chako
Unajua kuwa waislamu wa kiafrika bado ni watumwa wa waislamu wa kiarabu? Mwaarabu muislamu hawezi kukufanyia jambo la maendelo kwsabb wewe ni mtumwa wake ndiyo maana atakujengea msikiti, kisima cha kujitawazia, kukupa maji ya zamzam na Quran.
Mtumwa haistahili maisha mazuri ndiyo maana kipindi kile cha waarabu (waislamu) hawakujenga shule, vyuo vya ufundi wala hospitali kwasababu wewe ni mtumwa wake
Screenshot_20231026-135029.png
Screenshot_20231026-135029.png
Screenshot_20231026-130727.png
Screenshot_20231026-130345.png
Screenshot_20231026-125958.png
 
UJINGA MWINGI.

MATAIFA YA ULAYA YANAPIGANA, UNAITA VITA KUU YA DUNIA.

PATHETIC
 
Upuuuzi ni kuamini kwamba watu wote wanawaza upuuzi kama unaouwaza ...
Nikukumbushe tu hata chizi hajui kama anakichaa kwahyo jiangalie uchizi usikupeleke sana..

Kwa Taarifa yako Ndogo Hyo Elimu ya Historia ndo iliyonifanya leo hii niku Huku kwa hao mnaowasujudia nyinyi...
Kifupi nina BA in History na Nina Master degree in African History nachokisema nakijua vizuri...

Na kwa bahati nzuri nafanya kazi museum moja hapa kwa Miungu yako
So I know how they kept the Archieve and how they played with your History...
Nje ya sifa za elimu, What is your point related to the topic?
 
Mkuu tatizo unachanganya imani yako ya kiislamu na jamii za kiutawala au falme za watu wenye asili za kiarabu enzi hizo.
NB: Unajua ukoo wa Marzui walifanya makoloni mengi hapa pwani ya afrika mashariki kabla ya Seyid Said??
Unajua waarabu na waamor wa morocco walifanya makoloni zaidi ya miaka 400 kusini mwa uhispania.
WARAABU NAO NI BINADAMU KAMA BINADAMU WENGINE NA WANA UTASHI WA KUTAWALA NA KUTUMIA WATUMWA TOKA ENZI HIZO NA DINI ISIKUCHANGANYE.
Ni kama wahispaniola na wareno walikua wananunua watumwa na kutumikisha watu afu waje hapa wakrsto kuukataa huo ukweli.
NB: EBU MTAFUTE MWANAZUONI WA KIARABU NA ANAYEJUA HISTORIA YA WAARABU KUANZIA UKOO WA MAHID SUDAN MPAKA KULE BANDAR ABBAS UAJEMI AKUSAIDIE KUIJUA HISTORIA YA BINADAMU WANAOITWA WAARABU.
NB: Tusitoke nje ya mada aliyouliza jamaa kuhusu ushahidi kama waarabu na waislamu walishiriki biashara ya utumwa???
Na nimemjibu vizuri kupitia historia ya watu wa jamii hizo.
Nimefurahi umejibu vizuri Cha kwanza inabid tutofautishe uislamu na Uarabu kwanza hapo tutakuwa sawa...
Si kila muarabu ni Muislam na sio kila mu islam ni muarabu...
Ni sawa na kuufannanisha ukristo na Uzungu...
 
Hata Muislamu kama akikaidi Sharia za M/Mungu naye ni kafiri tu neno kafiri ni mkufuru wa Amri za M/Mungu halina Race wala Jinsi
Kwahiyo na wewe ni kafiri kwasababu unatumia mtandao wa kafiri kutoa maoni yako?
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.
Pamoja na hayo yote waislamu ndio wanakimbilia nchi za Ulaya na Magharibi. Hakuna muislamu anayekimbilia nchi za Uarabuni kutafuta maisha. Angalia hata nchi ulaya watuwanatoka Syria,Iran,Iraq,Palestina nk. Hata Dj Khaled ni Mpalestina by origin. Wazazi wake wangekimbilia Saudia asingekuwa hapo alipo.
 
Kwahiyo na wewe ni kafiri kwasababu unatumia mtandao wa kafiri kutoa maoni yako?
Siwezi kuwa kafiri kwa sababu hakuna sehemu nimempinga Mungu.....
Narudia tena kafiri ni yule anayepinga maagizo ya Mungu kwenye Vitabu vyake..
Hakuna sehemu Mungu alisema nisitumie Hivi vitu..
Ila aliwahi kuniambia kwamba kanihalalishia vitu vyote pamoja na vitu vya Alkitaba
 
Mkuu tatizo unachanganya imani yako ya kiislamu na jamii za kiutawala au falme za watu wenye asili za kiarabu enzi hizo.
NB: Unajua ukoo wa Marzui walifanya makoloni mengi hapa pwani ya afrika mashariki kabla ya Seyid Said??
Unajua waarabu na waamor wa morocco walifanya makoloni zaidi ya miaka 400 kusini mwa uhispania.
WARAABU NAO NI BINADAMU KAMA BINADAMU WENGINE NA WANA UTASHI WA KUTAWALA NA KUTUMIA WATUMWA TOKA ENZI HIZO NA DINI ISIKUCHANGANYE.
Ni kama wahispaniola na wareno walikua wananunua watumwa na kutumikisha watu afu waje hapa wakrsto kuukataa huo ukweli.
NB: EBU MTAFUTE MWANAZUONI WA KIARABU NA ANAYEJUA HISTORIA YA WAARABU KUANZIA UKOO WA MAHID SUDAN MPAKA KULE BANDAR ABBAS UAJEMI AKUSAIDIE KUIJUA HISTORIA YA BINADAMU WANAOITWA WAARABU.
NB: Tusitoke nje ya mada aliyouliza jamaa kuhusu ushahidi kama waarabu na waislamu walishiriki biashara ya utumwa???
Na nimemjibu vizuri kupitia historia ya watu wa jamii hizo.
Uislamu ni uarabu kwa sababu kuanzia mavazi ni asili ya Uarabuni. Na hata ukiangalia dini yenu inafundishwa kwa kiarabu. Na ukifuatilia historian uislamu una matabaka. Hata ukienda uarabuni kuna familia na koo zina matabaka juu ya wengine.
 
Siwezi kuwa kafiri kwa sababu hakuna sehemu nimempinga Mungu.....
Narudia tena kafiri ni yule anayepinga maagizo ya Mungu kwenye Vitabu vyake..
Hakuna sehemu Mungu alisema nisitumie Hivi vitu..
Ila aliwahi kuniambia kwamba kanihalalishia vitu vyote pamoja na vitu vya Alkitaba
Mbona haya maagizo umeyapinga?
Sura 9:5 says, “Slay the infidels wherever you find them ... and lie in wait for them ... and establish every stratagem (of war against them).
 
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.

Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.

Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.

Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.

Usije na hasira njoo na hoja.

Usilete picha za CNN au BBC.

The only point umeshika ni nyumba za ibada tu kutumika? That all
Well bado hujui kitu, kasome upya
 
Mbona haya maagizo umeyapinga?
Sura 9:5 says, “Slay the infidels wherever you find them ... and lie in wait for them ... and establish every stratagem (of war against them).
Mkuu ingekuwa vyema ungeanza kutoka verse 3 ukamaliza mpaka verse 7..
Utaelewa the moral of the story cuz islam doesnt preach killing insteady christian does...

QURAN 5:32..

whoever kills a soul unless for a soul or for corruption [done] in the land (Court law) it is as if he had slain mankind entirely. And whoever saves one - it is as if he had saved mankind entirely.

But christian even Jesus Preach Killing...Mathew 10:34

Screenshot_20231027-134631.png

Na hakutishia tu pia akitoa amrii..Luke 19:26-27

In 27 ..Alisema yoyote ambaye ni adui yangu mleteni mbele yangu na mumuue nikiona
Screenshot_20231027-133802.png

NA SIO YESU WA BIBLIA TU ALIPREACH KILLING HATA MUNGU WA MUSA KWENYE BIBLIA NDO KATILI KWELI KWWLI....

Number 31:17-18

"Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman that hath known man by lying with him.But all the women children, that have not known a man by lying with him, keep alive for yourselves."

Mungu anamwambia musa aue Maboyfriend wa watu achukue mademu zao halafu wawe wake 😅😅😅

Dont throw stone Brother we Both not Right
 
Kuna marekebisho kidogo ottoman empire ilishiriki vita ya kwanza ya dunia ikachapika kolon lake ndohiyo Israel na Palestine
 
Malaria ilipanda kochwani unakua kichaa hii imethibitishwa na madaktari wa akili
 
Huoni kitabu cha Robert C Davis kama kilileta chuki za kidini miaka hiyo kinatoka au hujui historia yake?
Unakumbuka watu wangapi walifariki?
Unakumbuka kuzuka kwa Makundi ya kigaidi ya kikristo kulipa kisasi?
Kitabu nilichokupa usome kinaelezea ukweli kuhusu biashara ya utumwa katika pwani ya medetranian na kinajibu swali la mdau kuhusu waarabu na uislamu na biashara ya utumwa.
NB: TUSITOKE NJE YA MADA HUSIKA
Screenshot_20231028-104221_1.jpg
 
Back
Top Bottom