Sijajua lengo la uzi wake ni nini ila naona analazimisha na kutafutiza ubaya wa Ukristo kwenye biashara ya utumwa na anashindwa kutofautisha Ukristo (Imani) na wazungu (Race na culture ).Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome..
Acha unafiki kina Tipu Tipu,kina Seyid Said,Baragash walikuwa dini ganiLicha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Kamsome Tip Tip, abushir, hili ndilo lilikuwa jangili la kukamata watumwa kutoka Bara na kuwapereka Zenj,Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwachukua watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri.Kamsome Tip Tip, abushir, hili ndilo lilikuwa jangili la kukamata watumwa kutoka Bara na kuwapereka Zenj,
Historia ya dalasa la tano,kasome vzr
Huyo bushir alikuwa mkristo? Mashamba ya karafuu Zenj, yaliyokuwa yanamirikiwa na waarab, vibarua walikuwa wa Japan? Mzungu alipereka watumwa, ulaya, mwarab(islam) alitumia watumwa Zenj, na Ukanda wa bahari ya, Hindi,Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwa watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri
mwambieLakin ulisikia wakina sayid said, waliuza watumwa kutoka pwani ya africa mashariki ??? Au hadi hlo utakuwa hujackia?
Hizi hadithi ni sawa na paukwa pakawa unazipata Sunday schoolHuyo bushir alikuwa mkristo? Mashamba ya karafuu Zenj, yaliyokuwa yanamirikiwa na waarab, vibarua walikuwa wa Japan? Mzungu alipereka watumwa, ulaya, mwarab(islam) alitumia watumwa Zenj, na Ukanda wa bahari ya, Hindi,
Basda ya mapinduzi, ya viwanda ulaya, watumwa hawakuhitajika tena, ulaya, Ila Zenj ya kiislam biashara iliendelea? Kenge tumia akili bro! Omba hata kitabu cha Historia cha dalasa la tano, facts zipo documented vzr tu.
Wewe na UNO nani anajua? UNO wakiristo lkn wanaamini hivyo. Wewe mfuasi wa kibwetere unakuja na ngonjera humuVichaa mnazidi kuongezeka Kila siku unahadithiwa na vichaa wenzio huko kwenye gongo unakuja kuleta mashudu hapa, Kila siku mnaandika upuuzi wenu hapa kwamba hapakua na taifa linaitwa Israel kabla ya vita ya dunia alafu unakuja kuandika kwamba Israel walipigana vita ya dunia, zimekuenea kweli wewe 🤔🤔🤔
Mkuu unaijua biashara ya watumwa iliyokua inafanywa na waarabu wa Oman walowezi wa Zanzbar na watoto wao machotara kuanzia Kilwa na Bagamoyo na Pangani na Zanzbar mpaka kule Unyanyembe na Ujiji na kwa Wamanyema mpaka Karagwe na Uganda.Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Kwa hivyo waarabu ndio wakiwatesa huko ktk kanisa la mkunazini watumwa? Au sijakufahamuMkuu unaijua biashara ya watumwa iliyokua inafanywa na waarabu wa Oman walowezi wa Zanzbar na watoto wao machotara kuanzia Kilwa na Bagamoyo na Pangani na Zanzbar mpaka kule Unyanyembe na Ujiji na kwa Wamanyema mpaka Karagwe na Uganda.
Hizo unazoleta wewe ndio ngonjera kwa nini uandike kwamba Israel walishiriki vita ya dunia na wakati unaamini Israel ilikuja baada ya vita ya dunia🤔🤔Wewe na UNO nani anajua? UNO wakiristo lkn wanaamini hivyo. Wewe mfuasi wa kibwetere unakuja na ngonjera humu
Umeandika nini? Hata wenzio hawajafahamuHizo unazoleta wewe ndio ngonjera kwa nini uandike kwamba Israel walishiriki vita ya dunia na wakati unaamini Israel ilikuja baada ya vita ya dunia🤔🤔