Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo

Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa na ustaarabu

Jiulize
Muislam kama Bakhresa anakaa kwenye zulia anamsikiliza Shehe Mazinde😂 anayeona kuandamana ni fujo

Muislam makini kama Mzee Kikwete anakaa anamsikiliza mufti Zuberi😂 Mzee wa maridhiano na muandamo wa mwezi

Muislam makini kama Professor Assad anakaa massa 2 anasikiliza mawaidha ya Shehe Kipozoeo 😂

Chief Judge Ibrahim Juma anatulia anamsikiliza Shehe Sharif Majini

Jamani ndugu zangu waislam jaribu kufanya recruitment nzuri ya viongozi wenu wa dini

Viongozi wa dini wanabeba taswirq ya uislam

Sio hao mashehe wao wanaomba mapumziko siku ya mwaka wa mtume

Hao viongozi wenu wanaosifia mauaji ya oktoba 29, hawafai

Kuna waislam makini ambao binafsi nawaheshimu ila hawa viongozi hapana
Your browser is not able to display this video.
 
"Los Angeles ni Malaika aliepotea" Sheikh Sulle
Scars
Nikiona waislamu wanavyomsifia shehe Sulle na jinsi alivyo na heshima kubwa kwao Huwa ndiyo nazidi kuchoka.

Jamaa ninmweupe na mwongo vibaya mno. Anasimulia jambo Huku confidence mlima Kilimanjaro lakini uongo mtupu.

Imagine siku Moja anawasimulia waislamu msikitini kuhusu habari ya Los Angeles na Las Vegas. Ilikuwa vituko yani hadi unaona aibu.

Ila ajabu watu wanashangilia balaa na kuita takbiiiiir na wakapata hadi confidence ya kuipakia ile video kwenye social media na akaendelea kusifiwa na waislamu wa mtanaoni!!!

Alooo nilichoka asee!!

Alafu Kuna huyu wa kuitwa Kishk

Sikiliza huu upupu.

Kwa heshima yake alitakiwa aongee hivi kweli? Na hii ilikuwa 2021 ila afande anazidi kudunda hadi Leo.
Your browser is not able to display this video.
 
Nimecheka mno😅😀😄😂
 
Afande anadunda tu na juzi kawapasua tena kuhusu uchoyo wa nyama.

Kishki na Sulle ni waongo waongo na wachumia tumbo.
 
Dah nimecheka knoma, Yn hta kama hutak kusema neno baya kwa Waislamu lazima utakutana na jambo la kuwaona Waislamu n Wapumbavu.

Sasa mtu kama huyu ukimpa panga ukamwambia amuue afande sele c n chap tuu anaua Huyu

Pumbavu Kabisa hawa
 
Mohamed Said unasemaje mzee
 
Muislamu mjinga tu ndio atamsifia Dr Sulle

Mimi nimeanza kumkataa toka nipo form one niliposikia akidanganya kuhusu ukuta wa China kabla ya kujua udhaifu wake katika elimu ya dini na itikado yake.

Hao MaSheikh walikuwa wanakubalika zamani kipindi hiko Elimu ya dini kwa watu ni ndogo sana na watu hawasomi , sasa hivi popularity Yao imeshika sana hata Muislamu wa kawaida anajua kuwa Dr Sulle na wakina mazinge matapeli.

Kama ilivyokuwa kwa Wakristo Mwamposa , Tito , Zumaridi nk Wana wafuasi basi hata hao MaSheikh hawakosi wafuasi
 
Ila mkuu pamoja na kwamba hiki ni kituko ila dini zote za mbili zina vituko na story za ajabu ajabu sana mkuu.
 
Mara ya kwanza nakuona muislam makini
We fikiria mtu mjinga kama Mwaipopo eti nae ni kiongozi wa dini na watu wanamtii
Anadai ana kikundi chake cha kupiga waandamanaji
Yaani watu walalamikie serikali Yao wewe uje uwapige na kikundi chako
 
Inakuaje sasa Sulle bado anakubalika sana na jamii kubwa ya Waislamu? Au wengi wao ni low IQ??
 
Afande anadunda tu na juzi kawapasua tena kuhusu uchoyo wa nyama.

Kishki na Sulle ni waongo waongo na wachumia tumbo.
Kwa sasa wasomeshe watoto kisha wasimame madhabauni wakiwa wamekamilika kote kwenye dini na elimu Dunia.

Muislamu aliyeelimika hawezi kuwa hivi kama walivyo akina Sulle,Kishk na mazinge.

Nina "mwanangu" msomi wa uchumi yeye ni muislamu ila kichwa sana yule jamaa. Yeye wazazi wake walimsomesha kweli kweli kote kote madrassa na elimu ya secular.

Siku Moja Tunapiga stori hizi hizi za uchawa unavyowatafuna viongozi wa kiislamu katika huu uongozi.

Jamaa anakuambia "Satoh,nikienda kuswali,ukifika mida wa mawaidha Huwa nachoka sana asee!! Yani mashehe ni weupe na wanaongea vitu vya ajabu na mediocre vibaya mno alafu mbaya zaidi Kuna ile spika ipo nje na ipo on. Huwa najiuliza hivi wanaosikiliza huko nje hasa wasio waislamu wanatutafsiri vipi?"

Jamaa anasisitiza sana kuhusu swala la elimu kwa viongozi wanaosimama madhabauni na kwenye mihadhara alafu wakaanza kugusia mambo ya kijamii na kitaifa.

Mfano msikilize tu mazinge utagundua reasoning capacity yake nje ya dini ni sifuri bin zero,ila anashangiliwa na waumini wake Kila akifungua mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…