Mara ya kwanza nakuona muislam makini
We fikiria mtu mjinga kama Mwaipopo eti nae ni kiongozi wa dini na watu wanamtii
Anadai ana kikundi chake cha kupiga waandamanaji
Yaani watu walalamikie serikali Yao wewe uje uwapige na kikundi chako
Mara ya kwanza nakuona muislam makini
We fikiria mtu mjinga kama Mwaipopo eti nae ni kiongozi wa dini na watu wanamtii
Anadai ana kikundi chake cha kupiga waandamanaji
Yaani watu walalamikie serikali Yao wewe uje uwapige na kikundi chako
Jamii kubwa ipi , data umetoa wapi ?Inakuaje sasa Sulle bado anakubalika sana na jamii kubwa ya Waislamu? Au wengi wao ni low IQ??
Upo sahihi Sana brother.Muislamu mjinga tu ndio atamsifia Dr Sulle
Mimi nimeanza kumkataa toka nipo form one alivyodai niliposikia akidanganya kuhusu ukuta wa China kabla ya kujua udhaifu wake katika elimu ya dini na itikado yake.
Hao MaSheikh walikuwa wanakubalika zamani kipindi hiko Elimu ya dini kwa watu ni ndogo sana na watu hawasomi , sasa hivi popularity Yao imeshika sana hata Muislamu wa kawaida anajua kuwa Dr Sulle na wakina mazinge matapeli.
Kama ilivyokuwa kwa Wakristo Mwamposa , Tito , Zumaridi nk Wana wafuasi basi hata hao MaSheikh hawakosi wafuasi
Hahahahaah huyu Ng'ang'a huwa ananivunja mbavu sana, mara aende na mikate kanisani na anawauzia na change harudishi.
Afande alikosa nini tena mpaka ananenewa maneno ya kiarabu??Nikiona waislamu wanavyomsifia shehe Sulle na jinsi alivyo na heshima kubwa kwao Huwa ndiyo nazidi kuchoka.
Jamaa ninmweupe na mwongo vibaya mno. Anasimulia jambo Huku confidence mlima Kilimanjaro lakini uongo mtupu.
Imagine siku Moja anawasimulia waislamu msikitini kuhusu habari ya Los Angeles na Las Vegas. Ilikuwa vituko yani hadi unaona aibu.
Ila ajabu watu wanashangilia balaa na kuita takbiiiiir na wakapata hadi confidence ya kuipakia ile video kwenye social media na akaendelea kusifiwa na waislamu wa mtanaoni!!!
Alooo nilichoka asee!!
Alafu Kuna huyu wa kuitwa Kishk
Sikiliza huu upupu.
Kwa heshima yake alitakiwa aongee hivi kweli? Na hii ilikuwa 2021 ila afande anazidi kudunda hadi Leo.
View attachment 3612664
Kiongozi wa waisilamu ni Nani? Yani ukute sheikh anaongea hujapenda halafu automatic umhusishe na uongozi wa waisilamu?Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo
Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa na ustaarabu
Jiulize
Muislam kama Bakhresa anakaa kwenye zulia anamsikiliza Shehe Mazinde😂 anayeona kuandamana ni fujo
Muislam makini kama Mzee Kikwete anakaa anamsikiliza mufti Zuberi😂 Mzee wa maridhiano na muandamo wa mwezi
Muislam makini kama Professor Assad anakaa massa 2 anasikiliza mawaidha ya Shehe Kipozoeo 😂
Chief Judge Ibrahim Juma anatulia anamsikiliza Shehe Sharif Majini
Jamani ndugu zangu waislam jaribu kufanya recruitment nzuri ya viongozi wenu wa dini
Viongozi wa dini wanabeba taswirq ya uislam
Sio hao mashehe wao wanaomba mapumziko siku ya mwaka wa mtume
Hao viongozi wenu wanaosifia mauaji ya oktoba 29, hawafai
Kuna waislam makini ambao binafsi nawaheshimu ila hawa viongozi hapana
Sema jamaa kwenye issue za majini wako vzur sana
Upo sahihi.Ila mkuu pamoja na kwamba hiki ni kituko ila dini zote za mbili zina vituko na story za ajabu ajabu sana mkuu.
Malizia ........Aibu utaona wewe
Sitakii ila jua tu aibu utaona wewe😅Malizia ........
Ukiwa msomaji mzuri wa hivi vitabu vya dini ni rahisi sana kuwatambua matapeli ya dini.Muislamu mjinga tu ndio atamsifia Dr Sulle
Mimi nimeanza kumkataa toka nipo form one niliposikia akidanganya kuhusu ukuta wa China kabla ya kujua udhaifu wake katika elimu ya dini na itikado yake.
Hao MaSheikh walikuwa wanakubalika zamani kipindi hiko Elimu ya dini kwa watu ni ndogo sana na watu hawasomi , sasa hivi popularity Yao imeshika sana hata Muislamu wa kawaida anajua kuwa Dr Sulle na wakina mazinge matapeli.
Kama ilivyokuwa kwa Wakristo Mwamposa , Tito , Zumaridi nk Wana wafuasi basi hata hao MaSheikh hawakosi wafuasi
Usijidanganye mkuu,Jamii kubwa ipi , data umetoa wapi ?
Waliwakomba watu enzi hizo za mihadhara hakuna internet mtu anachukua Moja kwa Moja kwa MaSheikh uchwara , sasa hivi tunahakiki wenyewe mitandaoni na tunaona Fatawa za MaSheikh wakubwa Saudia bila kipingamizi . Na vilevile watu wengi wameenda kusoma nje na kupata Elimu sahihi na kuelimisha wengine.
Gen Z hawawajui kabisa na kuwafuatilia wakina Mazinge , Dr Sulle , Mwaipopo nk , waliwaokota millennials enzi hizo ndio maana sasa power Yao imepungua kwa kiasi kibubwa