Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Mwamba ni huyu hapa, Mufti Ismail ibn Musa Menk.

Mwamba kanyooka hapepesi na yupo kitaaluma sana. Waislam wengi ni waoga wa elimu na hawapendi kuelewa wanapenda kuaminishwa. Ogopa sana mtu anayependa kuaminishwa jambo asilojua maana yake au sababu zake.

Imagine mtu anashindwa kutofautisha ugaidi na movement ya kiimani na kidini ya kutanganza kujenga dini. Mtu anasapoti boko Haram au al-shabaab au Taleban, na anajiona timamu kichwani.

Mtu anashindwa kuhoji mambo very basic kwenye jamii anakimbilia kusema uislam unahujumiwa. Huwa nasema ni mtihani sana kukumbatisha imani na kukosa elimu kama jambo moja.
images (42).jpeg
images (41).jpeg
 
Huu mpambano unaoendelea huko mtandaoni wa Sheikh Kishik Vs Ostadh Juma ni burudani sana kuuangalia

Halafu kuna bidada mmoja anakomaa na mzazi mwezie Sheikh Walid wa Mkoa wa Dsm ni aibu tupu😂😂
 
Muislamu mjinga tu ndio atamsifia Dr Sulle

Mimi nimeanza kumkataa toka nipo form one niliposikia akidanganya kuhusu ukuta wa China kabla ya kujua udhaifu wake katika elimu ya dini na itikado yake.

Hao MaSheikh walikuwa wanakubalika zamani kipindi hiko Elimu ya dini kwa watu ni ndogo sana na watu hawasomi , sasa hivi popularity Yao imeshika sana hata Muislamu wa kawaida anajua kuwa Dr Sulle na wakina mazinge matapeli.

Kama ilivyokuwa kwa Wakristo Mwamposa , Tito , Zumaridi nk Wana wafuasi basi hata hao MaSheikh hawakosi wafuasi
Dr. Sulle ni dakitari wa binadamu au ana PhD?
 
Back
Top Bottom