Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Duh yaani nyie jamaa mmechezewa sana bongo zenu.
Sasa elimu ya form 4 inamahusiano gani na elimu ya kiislamu.
Na hayo ni yaleyale tuyaonayo mnampima elimu kiongozi wa dini kwa kumuelizea panzi alivyo.
Kwenye uislamu Seqular nafasi yake ni finyu sana ila uislamu huo huo unafundisha hadi udaktari sema kwenye hizi nchi zetu mitaala haitutambui.
Ndio yale ya kufundishana jua kuzama kwenye tope au jini kulala puani kwa watu.
 
Acheni utoto kudhani kila mpinga wazayuni ni muislam. Nenda jf intelligence uone mada zangu za biblia, alafu uniambie lini nimekua muislam.
Naona unajikosha, kobazi kwa kobazi, tangu lini wakatofautiana
Surat Al-Ma'idah (Sura ya 5), aya ya 51
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki/walinzi (wenu wajadi). Wao ni marafiki wenyewe kwa wenyewe. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo atakuwa pamoja nao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu."**
 
Naona unajikosha, kobazi kwa kobazi, tangu lini wakatofautiana
Hata sisi wakristo tumetofautiana, huyo hamis77 mnayemshabikia huwa anaita wanaosali jumapili kuwa ni waabudu shetani na kwamba wao wasabato ndio wakristo halisi kisa wanatunza sabato. Anapinga utatu mtakatifu, anapinga kufanya sherehe za kuzaliwa kwa yesu na kufufuka kwake n.k

Hakuna dini isiyokua na mgawanyiko ila afadhali waislam shia, bohari, ismailia ni chini ya 20% ya waislam wote ila kwa sisi wakristo hakuna dhehebu lina angalau 50% ya wakristo, tumegawanyika sana na kila mmoja anajiona sahihi kuliko mwenzake.

Ntakupandishia uzi hapa uone tulivyodebate na hamis77 kuhusu sabato. Yeye mwenyewe anawaona nyie mashetani ila full kumshobokea.
 
Nikiona waislamu wanavyomsifia shehe Sulle na jinsi alivyo na heshima kubwa kwao Huwa ndiyo nazidi kuchoka.

Jamaa ninmweupe na mwongo vibaya mno. Anasimulia jambo Huku confidence mlima Kilimanjaro lakini uongo mtupu.

Imagine siku Moja anawasimulia waislamu msikitini kuhusu habari ya Los Angeles na Las Vegas. Ilikuwa vituko yani hadi unaona aibu.

Ila ajabu watu wanashangilia balaa na kuita takbiiiiir na wakapata hadi confidence ya kuipakia ile video kwenye social media na akaendelea kusifiwa na waislamu wa mtanaoni!!!

Alooo nilichoka asee!!

Alafu Kuna huyu wa kuitwa Kishk

Sikiliza huu upupu.

Kwa heshima yake alitakiwa aongee hivi kweli? Na hii ilikuwa 2021 ila afande anazidi kudunda hadi Leo.
View attachment 3612664
😂😂 Nimecheka eti afe kifo kibaya sanaa
 
Inakuaje sasa Sulle bado anakubalika sana na jamii kubwa ya Waislamu? Au wengi wao ni low IQ??

Mkuu DUnia always kwenye jambo lolote lile huwa kuna wajinga wengi kuliko wanaojitambua, Huyo hawezi sogea kabisa sehemu zenye Mashekh wakweli. Unajua bongo wajinga wengi ndio mana wajanja wajanja kama hao hutumia fursa kupiga hela.
 
Ndo maana nimesisitiza mashehe wawekewe kiwango cha elimu kama qualifications muhimu hata degree 1.
Unaona kama wakatoliki wana watu smart yaani Padre au Askofu akiongea unaona tofauti na mashehe ubwabwa.

wagalatia bana, muna vituko sana
 
Back
Top Bottom